Leonardo da vinc " Learn how to see. Realise everythng connects to everythng else…"Hapa nakataa sio kila kitu kina mafungamano na shetani labda katika azma na maudhui ya kukutumia.
Dah acha ndugu yangu ndio hivyo tenaUncle……… mjani ushatiwa doa hapo.
Kwa mfano na meditate neno la MUNGU hapo nitapata supernatural power za kimungu au kishetani? Ubaya wa meditation ni kumeditate au imani inayoambatana?Una gain supernatural powers
Meditation ya kimungu haiweZi kuwa ya kishetani...hata Yesu alishakaa meditation jangwani siku 40Kwa mfano na meditate neno la MUNGU hapo nitapata supernatural power za kimungu au kishetani? Ubaya wa meditation ni kumeditate au imani inayoambatana?
Well noted bwana Mshana. Thank youMeditation ya kimungu haiweZi kuwa ya kishetani...hata Yesu alishakaa meditation jangwani siku 40
Ubaya wa meditation ni ile imani inayoambatana nayo
1. Picha hizi mbili hazifunguki mkuu.View attachment 324439View attachment 324440pamoja na uzuri na faida za kuwa vegetarian lakini ukweli ni kwamba mavegen wengi ni wale wasioamini katika Mungu mmoja
Kila kitu kina pande mbili kuna watu ni mavegen kutokana na masharti na wengine ni mavegen tangu kuzaliwa1. Picha hizi mbili hazifunguki mkuu.
2. Natulio zaliwa toka wadogo tukiwa ma vegeterian tunahusika vip hapo ikiwa bado tunaimani ya dini husika.
Basi sasa utangaze ufalme wa MUNGU, tangaza rehema zake na yale mambo MUNGU aliokutendea utaokoa roho za watu wengiNimeishi dunia ya giza na upagani kwa miaka zaidi ya kumi lakini sasa sipo huko ..yoote ninayoandika si mambo ya sasa
Basi sasa utangaze ufalme wa MUNGU, tangaza rehema zake na yale mambo MUNGU aliokutendea utaokoa roho za watu wengiNimeishi dunia ya giza na upagani kwa miaka zaidi ya kumi lakini sasa sipo huko ..yoote ninayoandika si mambo ya sasa
Kuna njia nyingi za kufanya hivyo direct na indirect approach, unapotumia njia kama hii unaelimisha na kueleweka zaidi kuliko kutumia direct approach kwakuwa hili ni jukwaa la imani zoteBasi sasa utangaze ufalme wa MUNGU, tangaza rehema zake na yale mambo MUNGU aliokutendea utaokoa roho za watu wengi
Basi sasa utangaze ufalme wa MUNGU, tangaza rehema zake na yale mambo MUNGU aliokutendea utaokoa roho za watu wengi
Ila ulikua mchawi Baba si etii.Nimeishi dunia ya giza na upagani kwa miaka zaidi ya kumi lakini sasa sipo huko ..yoote ninayoandika si mambo ya sasa
I.e. meditation as wakatoliki we practise by putting God ahead especially in benediction
Ni aina ya kusali kwa tamadun za uchina na India ambao wanaweza kusali kwa imani ya mungu kwa njia hizo
Sisi waktoliki through ekristi tunameditate tupate nguvu ya kuendelea kuamini na kufanya kazi za kueendeleza ulimwengu
Mfano ss waafrika pia tuanatumia tamaduni zetu za kale kusali kidini hata kwa nyimbo kama mTambiko ndivyo ilivyo hata kanisani kwetu leo
Nakumbuka kuwa baadhi ya nguvu ni asili ya mwili tangu kuzaliwa ambzo meditation n njia ya kuzilea na kuzikuza
Pia nimeshuhudia watu wasio meditate style ya maisha yao inakuwa harsh but when they meditate become confident
Kipind nacheza judo ma taekwondo nilifundishwa Kumeditate ili nijicontrol myself na kutambua thamani ya utu na kupunguza hasira
Kwa mfano na meditate neno la MUNGU hapo nitapata supernatural power za kimungu au kishetani? Ubaya wa meditation ni kumeditate au imani inayoambatana?