Wale hawakuwa kana hawa tunaofahamu wale ilikuwa ni utume maalum ili neno litimiemkuu umeruka swali la msingi ila labda niongezee mamajusi walitokea mashariki hawakuwa wayahudi dhahiri waliabudu eastern religion(s), pia ni dhana ya astrology iliyo nje ya uyahudi [kumbukumbu zinaonyesha kwa wakati huo magwiji wa hiyo kitu walitokea misri na mashariki ya mbali nafikiri china] ndio iliwafikisha kwa Yesu wakiwa na utabiri wao.
mkuu usiogope bifu na wenye dini zao, ushetani na uungu ni kama simba na yanga wakitoka uwanjani wanapiga stori kama kawa na wanapeana dili REF; kesi ya ayubu.Wale hawakuwa kana hawa tunaofahamu wale ilikuwa ni utume maalum ili neno litimie
Duh hatari. .. After all theory ya postmodernism sikuielewa.
zina madhara yoyote..?Una gain supernatural powers
Vipi ikiwa Marihuana bila pot parties ??
Uncle……… mjani ushatiwa doa hapo.Vipi ikiwa Marihuana bila pot parties ??
Wazungu watakuwa wamepitia zote! I like to see Rock music kwan huwasiwaelewi elewi wanachokiamin