Exactly bantu.garageVideo Games...???
Mkuu fafanuako kidogo mkuu, mie nae nishaanza kujifunzahaka ka mchezo ka meditationUkiweza kukaa naye Mkiwa wawili tu na akawa mkweli kwako atakuambia jambo la kushangaza mno
Hapa nakataa sio kila kitu kina mafungamano na shetani labda katika azma na maudhui ya kukutumia.Miziki ya sauti na vyombo kama vya brass band
kwani kuna kipi ni siri kwenye meditation...?Ukiweza kukaa naye Mkiwa wawili tu na akawa mkweli kwako atakuambia jambo la kushangaza mno
mkuu umeruka swali la msingi ila labda niongezee mamajusi walitokea mashariki hawakuwa wayahudi dhahiri waliabudu eastern religion(s), pia ni dhana ya astrology iliyo nje ya uyahudi [kumbukumbu zinaonyesha kwa wakati huo magwiji wa hiyo kitu walitokea misri na mashariki ya mbali nafikiri china] ndio iliwafikisha kwa Yesu wakiwa na utabiri wao.Astrology ipo ya aina mbili ya kimungu na kishetani
Marihuana &pot parties mkuu msaada hapo nn hii kitu