Usipende kuzoeana na watu, utaishi kwa furaha sana

Kutoa salamu na kuzoeana ni vitu viwili tofauti. Salimia watu ila usiwazoee wasikuzoee (Msiongee chochote juu ya maisha yenu ama ya watu wengine).

Usiwapite watu kama unapishana na VISIKI.
Sawa
 
Kwani wakikusema unakufa?? Usiache kusalmia watu kisa wanakusema, labda kama kuna sababu nyingine ya msingi
Mkuu ..mi sera zangu ni za jino kwa jino..huwaga sirembi wala sivumilii..maisha yenyew mafup haya
 
Kabisa mkuu
 
Kabisa mkuu
 
Si hao watoto wa kino wanasemaga mbagala uswahilini? Me napajua mpaka kule Mbande mbele mbele sijaona uswahili kama wa Sakina au kwa morombo, waarusha ni noma eti
Nilikaa Arusha kipindi flani, mara kibao nikimsalimia mtu anauchuna na kukunja sura juu...mpaka madukani na bar...ilibidi na mimi nijifunze tabia ya mikausho mikali...sikusalimii hadi unianze mimi ndio nitaitikia au nikiwa na uhakika huyu mwanangu nikimsalimia ataitika tu...nilivyorudi uswahilini kwetu dsm nikajisahau nikawa naendeleza hiyo tabia hadi siku moja mwana akanichana mbona umebadilika sana au una stress
 


Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Nadhani hata nchi zilizoendelea watu wako ivo.....huku ukizoeana na watu sana ndio mwanzo wa kuanza kupewa umbea uongo etc.....mimi kwangu salamu unaweza pata if nakuona Mara kwa Mara au jirani...ambacho siwezi share na Mtu ni story zozote personal..fully ukauzu ndio habari yenyewe...utakuwa na furaha sana maaana hutapata habari zozote za kusemwa kukuhusu
 

Umeeleweka sana mkuu watu wanapenda sana kutujaji
muda mwingine sisi wapole tuu ila unakuja kusikia kinaringa kilee
 
well said mkuu
 
Mkuu umechelewa kugundua hilo, ila sio mbaya, karibu sana kaka!

Mwenzio niligundua kitaaaaambo, nikiwa just na miaka 19 tu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…