Usipende kuiga biashara ya matajiri...Kwasababu kinachowatajirisha sio hiyo biashara unayoona!

Transistor

JF-Expert Member
Aug 8, 2013
970
1,461
Usipende kuiga biashara ya matajiri...Kwasababu kinacho watajirisha sio hiyo biashara unayo ona!

Katika Dunia hii unacho ona kinaleta mafanikio kiuhalisia sicho...

Katika hii dunia kila unacho kiona na kuonekana kinaleta mafanikio ni kinyume chake...

Kama unabisha Kauze nguo uwe kama FRED...

Ni mtizamo tu
 
Usipende kuiga biashara ya matajiri...Kwasababu kinacho watajirisha sio hiyo biashara unayo ona!

Katika Dunia hii unacho ona kinaleta mafanikio kiuhalisia sicho...

Katika hii dunia kila unacho kiona na kuonekana kinaletabmafanikio ni kinyume chake...

I thought so too mkuu, nakubali
 
Usipende kuiga biashara ya matajiri...Kwasababu kinacho watajirisha sio hiyo biashara unayo ona!

Katika Dunia hii unacho ona kinaleta mafanikio kiuhalisia sicho...

Katika hii dunia kila unacho kiona na kuonekana kinaletabmafanikio ni kinyume chake...

Kama unabisha Kauze nguo uwe kama FRED...

Ni mtizamo tu
Ambaye hajawahi kufanya biashara atapinga.
 
Mkuu utakuta motivator wanakwambia Passion
Hahahahaha

Usipende kuiga biashara ya matajiri...Kwasababu kinacho watajirisha sio hiyo biashara unayo ona!

Katika Dunia hii unacho ona kinaleta mafanikio kiuhalisia sicho...

Katika hii dunia kila unacho kiona na kuonekana kinaletabmafanikio ni kinyume chake...

Kama unabisha Kauze nguo uwe kama FRED...

Ni mtizamo tu
 
Usipende kuiga biashara ya matajiri...Kwasababu kinacho watajirisha sio hiyo biashara unayo ona!

Katika Dunia hii unacho ona kinaleta mafanikio kiuhalisia sicho...

Katika hii dunia kila unacho kiona na kuonekana kinaletabmafanikio ni kinyume chake...

Kama unabisha Kauze nguo uwe kama FRED...

Ni mtizamo tu
Biashara za kibongo zina siri nyingi sana nakumbuka miaka hiyo kuna mtu alianza fanya biadhara ya stationery mtaji mnene ilikuwa ni Oct tyme hiyo diary deal kweli target yake apate soko la hizo Diary kati ya hiyo Oct to early next year aisee alikutana na figusu container kutoka na mzigo kufika dukan ni Apri🤣 kumbe bana kuna kibopa huwa ndo biashara yake mjini alimzunguka maana jamaa alikuwa anaenda ingilia soko lake so kibopa akapita kwenye mamlaka fulanfulan ili jamaa awekewe figusu na kweli figisu ziliwekwa mwanzo mwisho...
 
Usipende kuiga biashara ya matajiri...Kwasababu kinacho watajirisha sio hiyo biashara unayo ona!

Katika Dunia hii unacho ona kinaleta mafanikio kiuhalisia sicho...

Katika hii dunia kila unacho kiona na kuonekana kinaletabmafanikio ni kinyume chake...

Kama unabisha Kauze nguo uwe kama FRED...

Ni mtizamo tu
Hapo kwa Fred vunja bei ni pa kutilia mashaka sana.
 
Utapewa mfano hizi nguo za special kwanza bei che na kenchi za nguo hata ziwe vipi zipo chache ,njoo sasa gharama za frem bado kuna wafanyakazi kibao wanahudumu na wanawalipa .

Ukija kweny running costs za biashara utakuta ni kubwa na bado wana-make profit daily 😅.

Dunia ina mambo mengi sana.
 
Zungumza Kwa uzoefu wako wa Makete au Tukuyu....

Usiseme kwenye dunia hii..

Dunia nzima inajua biashara iliyomtajirisha Bill Gates ni software..
Hakuna ingine ..
Bezos katajirishwa na Amazon.com
Zuckerberg same Facebook...

Sasa usiseme dunia hii
Sema huko kwenu Makete bila kumiliki ndondocha hutajiriki tukuelewe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom