📣 Usipate Hasara Tena ,Fuga Kidigitali na Kwa Kisasa! 🐔

📣 Usipate Hasara Tena ,Fuga Kidigitali na Kwa Kisasa! 🐔

Brayan_Jk

Senior Member
Joined
Mar 28, 2025
Posts
187
Reaction score
197
Wafugaji wengi hupoteza muda, fedha, na kuku kwa sababu hawana mfumo bora wa kusimamia miradi yao. Ndiyo maana tulitengeneza Fuga App , msaidizi wako wa kidigitali kwenye kilimo cha kuku!

✅ Rekodi gharama zote za mradi
✅ Pata ratiba sahihi ya kulisha kulingana na umri wa kuku
✅ Kumbushwa siku za chanjo moja kwa moja kwa SMS
⛔️ Acha kutumia kalamu na karatasi!

Pakua Fuga App playstore sasa ,tuanze kufuga kisasa na kwa Uhakika
1753780327550.jpeg
 
Back
Top Bottom