atakutongoza kwa kiingereza,simu ataongea kiingereza utafurai umepata bonge la bwana linafanya kazi emmbasy ,un,usaid au ni mdiplomat yoyote kumbe ni mwalimu wa civics na history shule ya kata huko kongowe hajalipwa hata mishahara miezi mitatu.!
nawasilisheni
kuweni wakweli ndo hilo tu
kongosho nimekumiss wangu..hivi unafundisha somo gani tena mamii kuna topic sikuelewaMnatuzarau walimu, sawa bana lakini hiyo history na civics imekufaanya ufike hapo ulipo. Heshima ni bure.
kongosho nimekumiss wangu..hivi unafundisha somo gani tena mamii kuna topic sikuelewa
ooh a level nilisoma cbg nilikuwa sipendi kabisa physical geography !kukariri yale mafeature mimi hoi huo muda nilikuwa naona bora nisome biology ! ngoja nitakuja unifundishe mwalimu .....hesabu sina shida kiivoJogorafia na hesabu, hasa jogorafia ya mwanamke
yaani preta sina mbavu ujueha ha ha......shosti pole......jamii forum kuna senema za kutosha wallah...........ila kuna watu kizunguzungu jamani........full mashauzi.....njoo muone sasa.......mweeeee........
atakutongoza kwa kiingereza,simu ataongea kiingereza utafurai umepata bonge la bwana linafanya kazi emmbasy ,un,usaid au ni mdiplomat yoyote kumbe ni mwalimu wa civics na history shule ya kata huko kongowe hajalipwa hata mishahara miezi mitatu.!
nawasilisheni
kuweni wakweli ndo hilo tu
umeonaa eeh kitu cha ukweli inaweza ujihonge mzima mzima ..ila ndo hivo utakuta ni nanihii kongowe eti ...ze wallet is ziro balance
yaani preta sina mbavu ujue