Nizhneserginsky
JF-Expert Member
- Mar 9, 2017
- 269
- 575
Ushawahi kuona mwanaume anakataa papuchi kisa hana hela ya guest na nauli ya kumpa mrembo ndio mimi ilinikutaInafika wakati unakubaliana na hali tu la sivyo unaweza jitia jibisu.
sio wewe tu mkuu...hata mm imenikuta two weeks ago...ukiwaza hela ya guest 15k...nauli na chakula 10k....daah bajeti ya wiki mbili kabisa....inabidi uwe mpole..Huu ndo muda ambapo kichwa kikubwa inabidi kitawale kichwa kidogo.Ushawahi kuona mwanaume anakataa papuchi kiss hana hela ya guest na nauli ya kumpa mrembo ndio mimi ilinikuta
hilo wazo unalitekeleza na nini km huna hela unafikiri wasiokuwa na hela hawana mawazo? Mimi hapa nna ideal ya biashara lakini mfukoni hapa nilipo nna buku tu hilo wazo nnalifanyaje.Na kama una wazo la kupata hela,ni rahisi pia kupata hela kama utalitekeleza hilo wazo
Vumilia ndugu,wengine tukihadithia tulipo toka mpaka sasa ,ni uzi tisha na woote humu mtatoa machozi ila aminiMungu yupo na anaya weza yoote usikate tamaa.Niliwahi shinda njaa siku mbili Sina hata Mia ,
Afu nilikuwa nafanya special exam so washikaji wengi wameenda kwao,
ghafla watot wa jirani wakanambia uncle mama alinunua vitumbua asubuhi ,
Dah nilivila kwa uzuni kinoma nikashushia na maji ,
Kesho yake asubuhi kwenye paper,
Cha kusikitisha mbaka saizi hali ni hovyo.
Umasikini ni mazafaka
Ngoja nikutumie chapu[emoji125][emoji125][emoji125]Nitumie namba dm nikurushie 2000 kesho upate za kuanzia siku...
Mungu tusaidie nadhan mm Nina shida kumbe kuna wenzangu wananizidKwakweli haya maisha mungu atusaideie napitia wakati mgumu sana sasa hivi baada ya kusimama kazi kipindi cha korona mwaka jana, kupata kazi nyingine imekuwa ni inshu sana mwenye nuymba wangu nilimweleza tangu mwaka jana mwezi wa 6 hajanidai mpaka leo.. kulala na kushinda bila kula imekuwa ni kawaida nimepungua kilo 15 kutoka nilivyokuwa.... Mungu nisaidie tu
Hv unaikataaje jamani nifundishe na mmIlikuwa 2019 way back. But since 2020 April nilikataa hiyo hali.
Mkuu Kuna hela ya songesha 16,500 voda kopa alaf tupa laini yao.
3,500 nunua karanga kilo, alaf buku nununua mkaa, buku jero nunua ile mifuko ya plastic ya kufungia karanga, mia mbili nunua mshumaa, kaanga karanga alaf zifunge ukauze stand
mfukon utabaki na 10,300 hapo buni biashara nyingine inayo endana na karanga hapo weka hata fegi
Acha kabisa demu anapiga simu unakata tusio wewe tu mkuu...hata mm imenikuta two weeks ago...ukiwaza hela ya guest 15k...nauli na chakula 10k....daah bajeti ya wiki mbili kabisa....inabidi uwe mpole..Huu ndo muda ambapo kichwa kikubwa inabidi kitawale kichwa kidogo.
Hahahahaahahahahahahahahaa u made my dayUshawahi kuona mwanaume anakataa papuchi kisa hana hela ya guest na nauli ya kumpa mrembo ndio mimi ilinikuta
Usicheke wakati mwingine wanaume tunakutana na mengi machozi yanakutoka ndani kwa ndani. Mtoto mbichi kabisa kuku wa kienyejiHahahahaahahahahahahahahaa u made my day
Pole mkuu lakini iko siku hayo yote yatabaki ni histori tu. Usikate tamaa mkuuNiliwahi shinda njaa siku mbili Sina hata Mia ,
Afu nilikuwa nafanya special exam so washikaji wengi wameenda kwao,
ghafla watot wa jirani wakanambia uncle mama alinunua vitumbua asubuhi ,
Dah nilivila kwa uzuni kinoma nikashushia na maji ,
Kesho yake asubuhi kwenye paper,
Cha kusikitisha mbaka saizi hali ni hovyo.
Umasikini ni mazafaka
π€£π€£π€£Usicheke wakati mwingine wanaume tunakutana na mengi machozi yanakutoka ndani kwa ndani. Mtoto mbichi kabisa kuku wa kienyeji
Hahahaa huko shule mzee mtoto ata digest sunlight au lazima apige food tena liuji la dona wanasagia huko na magunzi kidogo ili washibe haraka
[/QUOTE,]
Nimecheka sana dah ,πππ mimi nipo mapumziko toka pasaka sina deal lolote dah watoto wamenikangua wamenda shule, kila issue nikiicheck hainipi hela ya haraka nimejikuta namademi ya pombe napigiwa simu na barmade utazani nilipora hizo bia.
πππUshawahi kuona mwanaume anakataa papuchi kisa hana hela ya guest na nauli ya kumpa mrembo ndio mimi ilinikuta
Ngoja nitulie nitaleta visa vitatu vilivyonikuta. Huwezi tongoza akikuangalia unakwepesha machoπππ
Hata kutongoza unaacha aise.