Usiombee kukosa hela

[emoji3516]
NAKUPA MWONGOZO!!!
[emoji116]
HII TABIA YA KUJA KUNITANGAZA MUMEO HUKU-
MARUFUKU!!!
 
Ungekuwa mama muheshimiwa sasa hivi, dharau zako zimekuponza
 
Kuna mtu nimemtumia amenijibu hela ndogo hata asante sijapata, japo sisaidii kupata shukrani, bora ningekupa mwenye uhitaji ningepata baraka
Ningeomba na kufunga hata siku 1 kwa ajili yako Mungu akuzidishie heri na baraka
Elf 10 ni kama laki 1 kwangu
 
Ungekuwa mama muheshimiwa sasa hivi, dharau zako zimekuponza
Hahahahahahaa...utoto uliniponza demi๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ..ningekua navaa mavitenge nafunga na malemba kichwani๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ! Na ingebidi niwe CCM kilazima...heehehee ningefanya figisu had angetoa mifaili home dadek....mm nisingehimili jamani kuolewa na mccm
 
Ungekuwa mwana CCM damdam tena mwenyekiti wa UWT
 
Kuna mtu nimemtumia amenijibu hela ndogo hata asante sijapata, japo sisaidii kupata shukrani, bora ningekupa mwenye uhitaji ningepata baraka
Aiseeee wakati sisi tukipata hiyo tunatoa shukrani hadi unakinai, anyway ubinadamu kazi sana mkuu
 
๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
Ahsante sana kaka, maisha haya ukikaa na vitu moyoni wakati kuomba sio dhambi unaweza ukafa kwa msongo wa mawazo hata kujiuaa, maisha magumu sana tena sanaa ila kikubwa tuishi vizuri kwa uaminifu na watu maana uwezi kujua nani atakushika mkono, na tusihau kuomba pia Mungu yupo sijafanikiwa kurudi kwenye mstari bado naangaika lakini nafarijika nimepata marafiki wapya n.k tunashauriana na kupeana moyo...
 
Unasikia mbaya sn Katika family kama hauna kitu unadharaulika sana unaonekana kama mtu ambaye hujielewi hauna Akili hata kwenye maamuzi ya kifamily hushilikishwi unaona tu kimefanyika, nnakumbuka nilimaliza chuo nilikaa miaka mingi bila kazi nikipata kazi mshahara wa kawaida Sanaa ambao unaishia kwenye nauli tu mpk kuna mdogo wangu aliyekua nyuma yangu kimadarasa akamaliza chuo riziki anapanga mungu akapata kazi nzur Mimi bado nnahangaika na wahindi mshahara 200k nikaona dogo yupo vizuri kanikuta mtaani kanipita ana kwake hajapanga Usafiri MKUBWA wakati kaka mkubwa nimepanga chumba kimoja job naenda kwa mguu Ku save pesa ngoja nimuombe msaada nifanye hata biashara kuongeza kipato dogo ndio akakubali kunipa msaada hila nimuandikie business plan aisome aone kama biashara nnayotaka kufanya inatija ndio anipe hela kwa Kweli roho iliniuma sana hata kama ndio kanipita uwezo dogo niliyempeleka shule kumvusha barabara Leo anataka nimpelekee business plan nikaona nife tu masikini sijapeleka nikaendelea kupambana mpk mungu amesaidia mambo sio kama Zamani hila umasikini mbaya sana usiombee ukukute.
 
Kweli nakwambia, maana ungekuwa unapiga pesa balaa[emoji3][emoji3], Kama nakuona vile na lemba lako la kijani[emoji125][emoji125][emoji125]
Dah ukija upande wa pesa๐Ÿ˜‹, ila asbh ningekuwa ccm usk chadema๐Ÿ˜๐Ÿฅฐ๐Ÿฅฐ๐Ÿฅฐ
 
[emoji2][emoji2] kwa iyo bro ukaona Bora ufe ila usiandike alichokuambia ili akupe msaada dah madogo wengne sjui sa iv anajckiaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ