zinaitwa tetekuwanga subiri zipo njiani zina kujaa mkuu kama udogoni ujapatamm sikuwahi pata haya makitu. Ila kuna watu huwa zinawatesa sana wakifilka umr huo
zinaitwa tetekuwanga subiri zipo njiani zina kujaa mkuu kama udogoni ujapata
zinaitwa tetekuwanga subiri zipo njiani zina kujaa mkuu kama udogoni ujapata
zinaitwa tetekuwanga subiri zipo njiani zina kujaa mkuu kama udogoni ujapata
hii kitu haimjali hata mchina we achatuhatari sana hiyo kitu,inaharibu mapokezi kabisa.
NAPITA wanasema zinatokea mara moja tu katika umri wako wote, nikweli ukiugua hazijirudii?
Sijawahi kumuumwa hiyo mungu aninusuru naskia homa yake kali sana.
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums