Chamachama
JF-Expert Member
- Jul 8, 2014
- 200
- 129
- Thread starter
-
- #21
hahahahahahahahahahahahaha sasa unanisaidiaje mkuu mwennzio hali mbayaWe kiumbe nahisi kama umefyatuka akili hivi kwa vitu unavyoandika...
Hebu ngoja turejee nyuma tuone mtiririko wa sredi zako...
A: 15 Julai 2014
https://www.jamiiforums.com/jf-chit-chat/690157-yaliyojiri-jana-jamani.html
Hivi kuna uhusiano gani kati ya baba na babu?
Kama ulikuwa na nia ya kumuelezea mmoja tu kulikuwa na haja gani ya kumtaja mwingine...!!!
B: 11 Julai 2014
https://www.jamiiforums.com/mahusia...114-kweli-kuolewa-kuna-mengi-waweza-kufa.html
Hii ni thread nyingine tena unataja habari za kifo, are you retarded?
Kama kweli unatamani kufa nunua sumu ya panya na unywe muda huu na wala tusisikie habari zako tena....
NOTE:
Ukijibu post hii nitaamini wewe una upungufu wa akili maana hadi sasa naamini u marehemu na mwili wako upo mochwari ndugu zako wamekuja kuutambua.
We kiumbe nahisi kama umefyatuka akili hivi kwa vitu unavyoandika...

Juzi tu hapa umesema bado miaka minne ufikishe 30 leo una 32 lol ama kweli miaka inakimbia
hahahahahahahahahahahahaha sasa unanisaidiaje mkuu mwennzio hali mbaya
Juzi tu hapa umesema bado miaka minne ufikishe 30 leo una 32 lol ama kweli miaka inakimbia
Nikahisi labda sikumbuki vizuri na mimi. Kwenye ule uzi hadi ukawa bosslady wangu ndo alisema bado miaka 4 afikishe 30 years. Sa sijui mwenzetu atakuwa anatumia calendar ipi
Af naona kazi inakushinda....mpaka sasa hivi sijaamka u know
inaumiza sana tena sana unajitahidi kadri ya uwezo wako ufanikiwe lkn hakuna chochote ,miaka 32 sasa loo mafanikio cjui lini ukitazama wengi wenye umri huo wamepiga hatua jamani natafuta sumu nijinyonge nipeni aina ya sumu ntakayokunywa nife kimyakimya