Novatus JF-Expert Member Joined Jul 28, 2007 Posts 330 Reaction score 38 Apr 20, 2011 #1 ukipona huwezi kurudia na kama hujawahi kutokewa na hii acha na wake za watu
sweetlady JF-Expert Member Joined Dec 24, 2010 Posts 16,967 Reaction score 8,498 Apr 20, 2011 #2 huyo mkaka alyefumaniwa ni wewe?? Wake za wa2 ni sumu! Novatus said: View attachment 27841 ukipona huwezi kurudia na kama hujawahi kutokewa na hii acha na wake za watu Click to expand...
huyo mkaka alyefumaniwa ni wewe?? Wake za wa2 ni sumu! Novatus said: View attachment 27841 ukipona huwezi kurudia na kama hujawahi kutokewa na hii acha na wake za watu Click to expand...
Lutala JF-Expert Member Joined Jun 17, 2010 Posts 848 Reaction score 104 Apr 20, 2011 #3 Mchezo wa kuigiza huo.
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,829 Reaction score 13,788 Apr 20, 2011 #4 Novatus said: View attachment 27841 ukipona huwezi kurudia na kama hujawahi kutokewa na hii acha na wake za watu Click to expand... Igizo hilo mkuu,huoni hilo pozi la binti na jamaa hawana hata wasi2?
Novatus said: View attachment 27841 ukipona huwezi kurudia na kama hujawahi kutokewa na hii acha na wake za watu Click to expand... Igizo hilo mkuu,huoni hilo pozi la binti na jamaa hawana hata wasi2?
Mwazange JF-Expert Member Joined Nov 16, 2007 Posts 1,056 Reaction score 83 Apr 20, 2011 #5 Inaelekea jamaa anasema "Let me explain this before anybody gets hurt. it is not what you think it is......."
Inaelekea jamaa anasema "Let me explain this before anybody gets hurt. it is not what you think it is......."
Somoche Platinum Member Joined Oct 6, 2010 Posts 7,043 Reaction score 9,672 Apr 20, 2011 #6 Mke wa mtu sumu mbayaaaaaaaaa siku hizi wengine wanakugeuza unapigwa halafu unageuzwa mke basi unakoma kabisa
Mke wa mtu sumu mbayaaaaaaaaa siku hizi wengine wanakugeuza unapigwa halafu unageuzwa mke basi unakoma kabisa
U uporoto01 JF-Expert Member Joined May 23, 2008 Posts 4,698 Reaction score 1,429 Apr 20, 2011 #7 Mbona jamaa kavaa nguo,halafu haiwezi kuwa kweli mtu kalala na mkeo halafu unashika tu panga pangetapakaa damu chumba kizima.
Mbona jamaa kavaa nguo,halafu haiwezi kuwa kweli mtu kalala na mkeo halafu unashika tu panga pangetapakaa damu chumba kizima.
luckyperc JF-Expert Member Joined Jan 17, 2011 Posts 495 Reaction score 46 Apr 20, 2011 #8 Novatus said: View attachment 27841 ukipona huwezi kurudia na kama hujawahi kutokewa na hii acha na wake za watu Click to expand... mbona hii ni movie sasa.......
Novatus said: View attachment 27841 ukipona huwezi kurudia na kama hujawahi kutokewa na hii acha na wake za watu Click to expand... mbona hii ni movie sasa.......
King’asti Platinum Member Joined Nov 26, 2009 Posts 27,866 Reaction score 24,984 Apr 20, 2011 #9 tena itakuwa scene ya movie ya kibongo,looks fake kabisaa.dada kapozi,jamaa anaongea kama anadai change yake sh 650 kwenye daladala!
tena itakuwa scene ya movie ya kibongo,looks fake kabisaa.dada kapozi,jamaa anaongea kama anadai change yake sh 650 kwenye daladala!