Nimekupata vema ndugu,lakini mwenzako nimeahaharibu hivyo,kinachonipa shida ni kwamba huyu Dada wakazini nawezaje kumuepuka?
Kwa sababu hisia zangu kwa kiasi kikubwa zinamkubali sana,najiona kabisa kwamba nampenda!!!
Na tukienda ofisini muda wote tupo pamoja nawezaje kukiepuka kikombe hiki!!?
Maana hata uwepo wake najua ndo unaiumiza familia yangu!!!