Muanzishe dawa kumbuka ni mzazi mwenzako . Bombo wana kitengo kizuri lakini Lutindi kuna wataalamu wengi zaidiMiaka yote hiyo ndugu yangu,nitawezaje kuwa naye kwa miaka mingi hivyo!!?
Wakati mimi natafuta namna bora ya kuepukana na mazingira haya!!!
Nimekupata vema ndugu,lakini mwenzako nimeahaharibu hivyo,kinachonipa shida ni kwamba huyu Dada wakazini nawezaje kumuepuka?Ngoja nikupe mfano mimi naishi mbali na familia, inanichukua siku mbili kusafiri na kuifikia mkoa ambapo familia ipo. Lakini nimewekeza kila baada ya miezi miwili lazima nitoroke au ruhusu kwenda kuungana na familia (nafikiri unaelewa nachosema).
Mbali na hapo nimewekeza sana kwenye mazoezi Mara 2 au 3 kwa wiki lazima nifanye mazoezi ya kufa mtu, pia kazi yangu hunifanya kuwa busy mara nyingi.
Pia likizo ya mwezi ya mwezi wa sita familia hunifuata na kukaaa mwezi mzima.
Sawa kuchepuka kunaweza kutokea ukizidiwa lakini sio kuendekeza na kuishi kama make na mume.
So punguza tamaa na ukaribu na wanawake otherwise utashindwa kulea familia zote na kusababisha migongano isiyokuwa na lazima
Ni kweli ni mzazi mwenzangu,na nampenda japo anajenga mazingira ya mimi kuipoteza familia yangu,kwa maana nyingine nyingine nisiende kuqatembelea familia yangu!!!(hapo ndo kitendawili,nawezaje kutelekeza familia yangu!!?)Muanzishe dawa kumbuka ni mzazi mwenzako . Bombo wana kitengo kizuri lakini Lutindi kuna wataalamu wengi zaidi
Kuoa mtu unaempenda ni bahati na hurahisisha sana maisha lakini mara nyingi tunaishia kuoa na kuolewa na tusiowapenda mradi maisha yaende. Yule mwalimu ndiyo mkeo.Ni kweli ni mzazi mwenzangu,na nampenda japo anajenga mazingira ya mimi kuipoteza familia yangu,kwa maana nyingine nyingine nisiende kuqatembelea familia yangu!!!(hapo ndo kitendawili,nawezaje kutelekeza familia yangu!!?)
Bas nipe huyo mtangaMkuu sio rahisi kiasi hicho,na hiyo nahisi ni mbaya zaidi kuliko hata kuwaacha wote!!
Sasa nyie si mnajifanya wajuzi wa mambo ee unakaa na mtu 6 uears anakuja kukuacha anaoa mwingine kwanini nisikuroge labda eeeDuuh hapo ndo naona dalili za kuuawa kabisa,kwa dhana hiyo hiyo ya tukose wote!!!
Mkuu haujaona picha za tukio tu!??sasa katika story hizi ndo halisi weka picha watu tuamini pole mkuu
Ni kweli sitamani kufanya hivyo,natamani niendelelee naye tatizo ni huyu wa Ofisini ni janga!!!Ukisubutu kumuacha wa singida imekula kwako
nimeziona apoMkuu haujaona picha za tukio tu!??