Azimio Jipya
JF-Expert Member
- Nov 27, 2007
- 3,363
- 1,135
Sisi huku tuna afya tele tunavimbiwa, hospitali kibao unaandikiwa dawa pharmacy kila kona. Daladala tuna mpaka treni sikuizi, bado ya ndege kwenda moshi mbeya mwanza kila mahali magufuli yupo bwana na mwakyembe wataleta kwanini mnapata shida huko si mrudi huku simu sio lazima uweke hela unaweza kuwa una beep tuu unapigiwa nyie mpaka mlipe! Kila mahali hapa ukibanwa mkojo unakojoa njooni huku waachieni mashida yao!
Maboga, mihogo, mahindi. Maharage mabichi weee njooni. Kuna ng'ombe wa kupeleka kwa dume kule home njooni tusaidiane
Njooni bwn msitesekee kwa watu kwani huko mnafanya nini. Wazee wete majukumu yamewazidi huku magogoni mje kuwasaidia.
nDIO MAANA mAREKANI NI nCHI TAJIRI KUPITA ZOTE DUNIANI. nA sISI NI MASIKINI KUPITA NCHI ZOTE ZILIZOFUATA UKOMUNISTI. Kulipa nyumba na bili za simu, maji, umeme ni lazima kwa kila mpangaji. Tena hakuna excuse. Ila ukiwa na matatizo ya kuachishwa kazi na unakabiliwa na matatizo mengi kimaisha , kuna mahali kwingi sana sana kwenda kupata misaada. Hapa New York city,, kuna sehemu inaitwa workforce, hapo unapewa food stamp na kucollect unemployment wages kwa siku kadhaa. Hakuna shida kabisaa wala Njaa hapa marekani. labda huyo dada alikuwa kazini wiki moja tuu na hakumaliza three months probabation.Kuna mdada mmoja mkenya aliumwa 2 weeks saa hizi nyumba hajalipa gari umeme na maji an simu .na kazi Hana Leo kuna kikao cha kumchangia.maisha gani hayo siheri Arudi Kenya tu .unaumwa week 2 tu unakutwa na drama lote hilo.kuishi paycheck to paycheck no heri urudi bongo
40 million Americans have no health insurance, don't they have jobs to cover their insurance?Health insurance inalipwa kazini automatically
Vitu vingi vitu gani, taja kimoja ambacho ofisa wa Bongo anashindwa ku afford halafu illiterate wa USA anaweza. Naanza mimi kutaja, ofisa wa Bongo anajenga nyumba, masikini wa US anaweza kujenga au kununua nyumba cash?Vitu vingi ambavyo masikini wa US wanaaford, msomi ofisa wa bongo ni kama luxury, like a show off thang.
mrudi kwa kweli ...mnazi mmoja hospitali iko buree huku..
Hana insurance?Kuna mdada mmoja mkenya aliumwa 2 weeks saa hizi nyumba hajalipa gari umeme na maji an simu .na kazi Hana Leo kuna kikao cha kumchangia.maisha gani hayo siheri Arudi Kenya tu .unaumwa week 2 tu unakutwa na drama lote hilo.kuishi paycheck to paycheck no heri urudi bongo
mmarekani kwa sababu ya kupenda raia zake haibi ili kujenga nyumba. yeyey hukopa benki na kulipa kwa miaka kama kumi au ishirini taratibu. Lakini huyo ofisa wa bongo lazima adhurumu haki za raia milioni arobaini, akafiche pesa zao uswiss halafu ajenge nyumba. Unakataa ukweli huu mkuu mwenzangu?40 million Americans have no health insurance, don't they have jobs to cover their insurance?
Vitu vingi vitu gani, taja kimoja ambacho ofisa wa Bongo anashindwa ku afford halafu illiterate wa USA anaweza. Naanza mimi kutaja, ofisa wa Bongo anajenga nyumba, masikini wa US anaweza kujenga au kununua nyumba cash?
Nyumba gani hiyo Marekani inalipwa deni ndani ya miaka kumi? Si kila mtu na shangazi yake angekuwa na nyumba. Nambie uliweka down kiasi gani na interest ni kiasi gani na bei ya nyumba ni ngapi na uliinunua Marekani ya wapi hiyo nyumba? Unless ni trailer park la kuvuta na lori.mmarekani... hukopa benki na kulipa kwa miaka kama kumi au ishirini taratibu. Lakini huyo ofisa wa bongo lazima adhurumu haki za raia milioni arobaini, akafiche pesa zao uswiss halafu ajenge nyumba. Unakataa ukweli huu mkuu mwenzangu?
Brocklyn na Broklyn ndio nchi gani hizo mkubwa?hapa New York city, kuna daraja la brocklyn linalounganisha manhatan na broklyn.
Health insurance inalipwa kazini automatically .......
Japokuwa hakuna dawa na madaktari wako mgomoni!!!mrudi kwa kweli ...mnazi mmoja hospitali iko buree huku..
Na wale homeless?Hakuna shida kabisaa wala Njaa hapa marekani......
huku kama umejikata, kutoa jino, operation ndogo, kukamuliwa jipu, kuna dawa za pain killer, ambazo unapewa kufuta maumivu. Utamu wa dawa hizo na raha yake, ni mara tano ya kulala na msichana. Je bongo dawa hizo zipo kweli ? na kama zipo si zitakuwa fake.
Mkuu watu wengi wako brain washed.. hawajijui wala kujitambua tena kwa Ugonjwa wa nchi zilizoendelea ndio maana saa zingine huleta ndoto hapa!!! Wanasahau kiwango cha watu wasio na makazi na kuishi kwenye mazingira magumu ni USA!! Wanasahau kuwa bongo ni salama zaidi kuishi kuliko USA!!40 million Americans have no health insurance, don't they have jobs to cover their insurance?
Vitu vingi vitu gani, taja kimoja ambacho ofisa wa Bongo anashindwa ku afford halafu illiterate wa USA anaweza. Naanza mimi kutaja, ofisa wa Bongo anajenga nyumba, masikini wa US anaweza kujenga au kununua nyumba cash?