Usiombe ukutwe na hii hali

Usiombe ukutwe na hii hali

Last weekend nilikua kazin kwangu/ dukan
Mme wangu siku iyo hakwenda kazini ,,, ilinitokea tu mawazo yakaja nirudi nyumban ..yan biashara ilikua ngum nikawaza kurudi kufua nyumban
Nimefika mlangon kwa ndan nakuta viatu vya kike
Mme wangu kakaa seblen kavaa surual na vest
Nikamuuliza tumepata mgeni?
Kadai mfanyakaz mwenzie kaja ila anaumwa kichwa kaenda kupumzika chumba Cha wagen
Kiukwel moyo uliuma kwa mda nikashindwa Cha kufanya nikamfata uyo mdada mana namfaham na hua tunaitana wifi
Iliniuma badae nikapotezea tu
Sasa leo kazin kwao mme wangu Kuna sherehe na jamaa hakuniambia mi niliambia na Shem wangu ambae wanafanya nae kazi tangu Monday
Jamaa kaniambia usiku huu na kadai hawaendi na wake zao
Hapa moyo unaumia tu sielew niwivu au nn kinachonisumbua
Mpaka Sasa hajarudi ..sijui ndio yupo na yule mgonjwa ata sielew
Kata kata, mmmh mpaka
...
 
mwache mgonjwa apatiwe tiba ya kitumbua chake.

Mla kitumbua anaenda kujilia kitumbua chake, hebu ngoja niweke pembeni masihara. Polee sana dada, piga moyo konde, muombee mumeo arejee kutoka huko salama baada kuombea hilo mwombe Mungu akupatie usingizi mnono ulale ili uwahi kesho kazini kwako.
Wanaume tumerogwa na aliyeturoga alishafarikigi kipindi cha mwanamarundi, atakaa sawa tu japo suala la yeye kuleta mwanamke ndani kwenu kiukweli sio zuri na sijapendezwa nalo kabisa.


Happy dude [emoji67]‍[emoji538]
 
ningepajua kwako nami ngekuja kukutibu hayo maumivu unayopitia nadhani ungelala bila maumiv

Ukajilie tunda lako kimasihara sihara tu [emoji23][emoji23][emoji23]


Happy dude [emoji67]‍[emoji538]
 
Au jamaa alikuwa keshamla ndo badae mdada akajipumzisha kidogo!

Sent using Jamii Forums mobile app

Eeeeh itakuwa hivyo mzee, jamaa kamchapa kimoja cha maana mpaka akapatwa na uzingizi kabisa jamaa akaona avae zake vest arudi sitting room aangalie TV.
Ila sisi wanaume kwakweli [emoji23][emoji23][emoji23] sijui tukoje walahi hadi mwenyewe najishangaaga sana, huyu mwanamke usikute anampenda mumewe na ameamua kujilinda kwajili ya ndoa yake lakini fala moja hivi linaanza kumtibua. Sasa ngoja bidada naye akisalambuka aanze kugawa mbunye pale kitaa kulipa kisasi mwanaume ataumia sana tena sana mnooo.

Niseme na nikiri, sisi wanaume kwa asilimia 99% ndio chanzo cha hawa wanawake kuwa makavera na pasua vichwa. Unahisi huyu bidada anavyoumia baadae atajiunga na lile kundi la F.karume Twitter wanaojiita wanatetea haki za wanawake kwa kutukana wanaume na kuwadharirisha yote kwa sababu ya sumu ya kuumizwa huko nyuma.
Rest in peace hiyo ndoa


Happy dude [emoji67]‍[emoji538]
 
Wivu lazima labda umpendi.
Ushampata mwenzio fanya tu utaratibu mbadala. Ila tumia akili
 
epuka dhana. hakika dhana ni kitu kibaya sana.

akili za kuambiwa changanya na zako!
 
Eeeeh itakuwa hivyo mzee, jamaa kamchapa kimoja cha maana mpaka akapatwa na uzingizi kabisa jamaa akaona avae zake vest arudi sitting room aangalie TV.
Ila sisi wanaume kwakweli [emoji23][emoji23][emoji23] sijui tukoje walahi hadi mwenyewe najishangaaga sana, huyu mwanamke usikute anampenda mumewe na ameamua kujilinda kwajili ya ndoa yake lakini fala moja hivi linaanza kumtibua. Sasa ngoja bidada naye akisalambuka aanze kugawa mbunye pale kitaa kulipa kisasi mwanaume ataumia sana tena sana mnooo.

Niseme na nikiri, sisi wanaume kwa asilimia 99% ndio chanzo cha hawa wanawake kuwa makavera na pasua vichwa. Unahisi huyu bidada anavyoumia baadae atajiunga na lile kundi la F.karume Twitter wanaojiita wanatetea haki za wanawake kwa kutukana wanaume na kuwadharirisha yote kwa sababu ya sumu ya kuumizwa huko nyuma.
Rest in peace hiyo ndoa


Happy dude [emoji67]‍[emoji538]
Ila nyie wanaume basi tu Mungu awasaidie
 
pole dada,,,jaribu kumchunguza kwa kina huyo mume wako

Sent using Jamii Forums mobile app,using POP 2 power
 
Huyo ni mchepuko rasmi wa mumeo, la msingi mvumilie au achana nae kama unahisi huwezi kuvumilia khali hy.
Ingawaje la kuachana sikushauri.
Huyo dada umemzoea mpaka mnaitana wifi wewe fanya ushushu anakuzidi nini. Kama anavyokuzidi ni vya kurekebishika ubadilike,.
Pengine mwenzangu umekua mvivu mno kwa mfano biashara umeona ngumu umefunga duka unarudi nyumbani sasa inawezekana hata sekta nyingine una kauvivu
 
Sasa unamchunguzaje?
ikiwa hujawahi shuhudi akifanya Jambo lolote huko nyuma ambalo lilifanya utie Shaka uhaminifu wake kwako basi uhenda Ni kweli mumeo alimsaidia Tu huyo mdada Kama mfanyakazi mwenzie.

Sent using Jamii Forums mobile app,using POP 2 power
 
Unaonekana unamkohoa sana mmeo...pole, ningekua mimi ningemchana tuu ukweli tena mbele ya takataka yake sipendi dharau.
 
Last weekend nilikua kazin kwangu/ dukan.

Mme wangu siku hiyo hakwenda kazini ,,, ilinitokea tu mawazo yakaja nirudi nyumban ..yan biashara ilikua ngum nikawaza kurudi kufua nyumban
Nimefika mlangon kwa ndan nakuta viatu vya kike.

Mme wangu kakaa seblen kavaa surual na vest
Nikamuuliza tumepata mgeni?
Kadai mfanyakaz mwenzie kaja ila anaumwa kichwa kaenda kupumzika chumba Cha wagen.

Kiukwel moyo uliuma kwa mda nikashindwa Cha kufanya nikamfata uyo mdada mana namfaham na hua tunaitana wifi.

Iliniuma badae nikapotezea tu
Sasa leo kazin kwao mme wangu Kuna sherehe na jamaa hakuniambia mi niliambia na Shem wangu ambae wanafanya nae kazi tangu Monday
Jamaa kaniambia usiku huu na kadai hawaendi na wake zao

Hapa moyo unaumia tu sielew niwivu au nn kinachonisumbua
Mpaka Sasa hajarudi ..sijui ndio yupo na yule mgonjwa ata sielew
Sasa kama wewe ni new hamida tatizo nn

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ina maana usingerudi angepumzika kisha akaenda zake na usijue kua alikuja kwako.
Nimeumia kama nimetendwa mie.....akili zangu nazijua

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom