Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 15,921
- 14,821
Mambo mrembo
Mimi kabla sijatoka home kwenda out nakuwa nimetengeneza ka "trading account" kangu na nina hakikisha hakaleti shida kwenye "daily income statememt" yangu.Kuna mtazamo kuwa wanasibu wanakuwaga na pesa lakini kiuhalisia siyo kweli bali hutegemea na mambo kadha wa kadha.
Huyo dada alipojua huyo kaka ni mhasibu akajua anapesa nakuanza kumkomoa kwa kuagiza vyakula na vinywaji vya bei kubwa!
Kwahiyo shemela unasema kwakuwa huyu NI mhasibu basi atritiwe kama mfalmeInawezekana tatizo sio profession yake bali namna mwanamke ali behave alipotolewa out.
Profession ya mwanamme sio sababu ya kumchukulia tofauti na alivyo. Mfano if he is a mechanic I will treat him like shit....at the end of the day a man is still a man.
Wahasibu jamaan mtuacheee Sisi tunapesaKuna mtazamo kuwa wanasibu wanakuwaga na pesa lakini kiuhalisia siyo kweli bali hutegemea na mambo kadha wa kadha.
Huyo dada alipojua huyo kaka ni mhasibu akajua anapesa nakuanza kumkomoa kwa kuagiza vyakula na vinywaji vya bei kubwa!
Mwanamke asipo jielewa ataongozwa na daftari ili limuelekeze jinsi ya kutumia pesa.Sasa ndoa na Mali na daftari hapo vepe?!
Kwani we haujui kuwa matajiri mjini skuhizi NI walimu?! ๐๐๐ Nitaleta Uzi WA penzi la Mwalimu utashangaaMimi huwa nawashauri wanaume ambao wako katika kuanzisha uhusiano wenye future .
Mwanaume jishushe usijioneshe kuwa na pesa utapata mwanamke fake asiyekupenda kwa dhati bali pesa yako!
Mwanamke akikuuliza unafanya kazi wapi mwambie kuwa wewe ni mwalimu wa primary au sekondari kwa mfano uone kama anamapenzi ya kweli atakukubali hivyo hivyo.
Mwanaume ukimwambia Mwanamke unafanyakazi TRA au BOT , Bank , Mhasibu n.k atakuganda, ata pretend kukupenda kumbe sababu ya maslahi na wala siyo Upendo wa dhati toka moyoni.
Tafakarini.
Wanaume wachache ninaowapenda kama upendo wa ndugu huwa nawashauri hivyo!
Kama ni chai weka sukari unywehuyo mwanamke nayeye anataka haki sawa??
NB:Najua hii ni chai
Huyo sio Accountant kabisa....! Alimdanganya dada wa watuJamani wahasibu wenzangu mnafeli wapi??
Nipo na mrembo kawe Leo, mara akapita Kaka mmoja rafkiangu akasonya
Nikamwuliza shida nini, jibu nililojibiwa sikuamini
Mrembo: huyu Kaka bwana alinitoa out weekend, nikaenda nae huko Kwa hotel, tumeongea vizuri, tumekuwa, tumekunywa, tumefurahi, kanisumbua wiki 2 nikakubali kutoka nae out, alafu ananiletea mambo ya kizamani
Money Penny: mambo gan tenaaa?!
Mrembo: bili ilipokuja ananiambia tugawane malipo nusu Kwa nusu, yeye alipie nusu na Mimi nilipe nusu
Money Penny: bili ulikuja bei gan?!
Mrembo: laki 1 nanusu
Money Penny: na wewe 75 haukuwa nayo au?!
Mrembo: nilikuwa nayo, lakini yeye ndio kanisumbua, alitakiwa alipe yeye sio Mimi, Yani wanaume wengine ovyo Sana, anasema yeye NI mhasibu WA kampuni moja hapa mjini, nashangaa Leo kumkuta hapa Kawe
Wahasibu WA skuhizi sijui wamekuwaje?!
Siwashauri wadada kutoka out na mhasibu
Money Penny: mkayamalizaje na Kaka WA watu?!
Mrembo: sikulipa, nikaondoka nikamwacha ananiangalia,
Jamani wahasibu wenzangu WA kiume mnafeli wapi?! Au ndio uchumi WA Kati?!