Usiombe Uchanganyikiwe...

Spear_

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2010
Posts
1,827
Reaction score
1,317
Mzee mmoja aliingia kwa Doctor huku akiangua kilio.....Doctor akamuuliza vipi?... Jamaa huku ameweka mikono kichwani akamwambie, Doctor...hivi ile dawa ya kupaka uliniambia ninywe mara ngapi.... Doctor alitoa macho utadhani alimwona shetani......
 
ugonjwa + ukata wa maisha usishae ukatoa majibu kama hayo.. ha ha ha
 
Kwa hali halisi ya maisha kwa sasa haya mambo ni lazima yatoke kwani kichwa kimoja kina msongo wa mambo kibao
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…