Philipo D. Ruzige
JF-Expert Member
- Sep 25, 2015
- 9,428
- 27,070
Hello wana Jf,
Leo nimekumbuka saana kisa kimoja kilichowahi kunikumba nikiwa magestini na mtoto wa jirani,
Ilikua hivii:
Ilikua ni jioni ya weekend yenye shangwe kibao mtaani kwangu, c unajua tanga yetu uswahilini kwa viharusi.
Basi zari zarina siku hiyo nikamseti mtoto wa jirani na home kwetu , nilishajipigia kama mara mbili tatu hivii ila kila nikigharamia show tukifika magestini nikipiga mzunGuko mmoja anagoma kuendelea (nikawa naondoka na utamu wangu kama muwa.)
Basi hiyo jioni nikamseti freeesh, yeye na dada yake wakaaga wanaenda harusini kwenye sherehe ya shoga yao(bila hiyana wakaruhusiwa)
Nikakutana nao sehemu husika tuliyopanga, basi dada nae nikamlamba sound akaelewa akaniachia kimwali ila kwa sharti nisikacheleweshe...
Hapo hapo nikaanza kuhisi mzuka wa hatari nikatamani nikarukie pale pale. Ili isiwe shida na tusichelewe ikabid nikapeleke gesti flan hivi ya kiduwanzi , chumba 3500/= short time.
Tukaingia magestini. Shuka chafu, ndani feni kama Bombadia Q-400
Basi bila kuchelewa tukaanza fanya kilichotupeleka ,huku na kule huku na kule show ikasome , tukazipiga vizuuur, hatimae refa akaamuru kipindi cha kwanza kimeisha. Na tukaweka pause huku tunakula upepo wa bombadia.
Ghafla bibie akaamka akawa anataka akaoge, nikavunga, akaoga akarudi anataka kuvaa tusepe. Duuuh nikaona yale yale, hata kijipesa cha short time hakijaisha...
Nikamkazia , nimsomeshaaaa, mpaka akaingia kingi tena, kwa bahati nzuri kipindi namsomesha na simu nayo mtandao upo full, tukarudi tena kwa ajili ya second round (hapa show ilikua ya kueleweka kweli kweli kwa dakika kama 6 hivi)
Ghafla majanga na mauza uza yakaanza. Nikiwa busy napiga kazi, nikaanza kuona mtu macho yanabadilika, alikua nae anashiriki katika lile tukio lakini ghafla akaniachia , huku anaweweseka. (basi mi nikajua kweli kazi imemkolea )
Kipindi mi najua ni njonjo zake tu nikaona mtu kama kakata moto, hatoi saut yupo kimya hana ushirikiano wowote aisee....
Hapo hapo chululu ikasinyaa ikawa kama kidole cha mwisho cha mguu , nikaanza kutokwa na jasho la uwoga, huku nahisi kama tumbo la kuhara ghafla. Hapa ndio kipindi nilimuomba Mungu kwa majina yote niyajuayo.
Nikiwa sijamaliza hayo nikaanza kuvuta picha jinsi polisi wananikamata , nikiwa mahakamani, mara nikaanza kuona picha ya gereza la maweni huku ... Nikakumbuka stori za jela jinsi watu wanavyosimulia (ilikua ni kama dakika 2 ila niliwaza vitu vingi isivyo kawaida)
Kwa uoga nikavaa boksa na suruali ikiwa wazo lanGu la kwanza ni kukimbia na kumuacha yule demu magestini ( ila nitajibu nini kwa dada yake?)
Nikapata wazo, nikampigia simu bro wangu, akapokea bila shaka nikamtel fasta akaniambia nifungulie bombadia kwa speed kubwa alaf nitafuta vimaji nimmwagie usoni. Nikafanya hivyo, kiasi kama cha dakika kumi mbele nikaamza kuona anapepesa macho , ananyanyua na mikono.. !
Nikavunga dakika chache kidogo, kakapata nguvu, nikamwambia hapa ni safari moja mpaak kwenu hakuna cha dada wala nani.
Tulivyotoka nje nikamnunulia coca cola baridi akapiga, baada ya hapo nikampeleka kwao, nikamfikisha mlangoni, nikatega kwenye kona kuona mziki, basi akafunguliwa akaingia ndani. (kimoyo moyo nikasema kafie kwenu sasa...)
Usiombe demu akuzimikie ukiwa upo nae magestini/gheto