Usiombe kukutana na viumbe hawa

KACHINJA

JF-Expert Member
Dec 26, 2015
1,263
868
Usiombe kukutana anga zao ni hatari zaidi ya chui mwenye watoto

FB_20160527_21_32_06_Saved_Picture.jpg


FB_20160527_21_32_27_Saved_Picture.jpg
 
hawa ndo wanasababisha mbunge fulani alalamike kwamba jimboni kwake wanaume wanashindwa kuoa wake wazuri sababu ya hawa viumbe!
 
Hao ndio wasoja sasa,sio kama wale wanaopaka poda sura laini zaidi ya paja la mtoto wa geti Kali,huyo akikuangalia tu wallet inadondoka
 
Back
Top Bottom