kasuku mtu
JF-Expert Member
- Feb 21, 2013
- 321
- 94
Habari wana jamii forum!
Mimi ni kijana ninaefanya biashara zangu maeneo ya buguruni hasa bizaa na vifaa vya ujeniz kama:
*mbao
*misumali
*mabati
*cement
*mirunda
*gypsum
kwa wale wanao hitaji vifaa hivi kwa wingi wowote tupo buguruni wasiliana nami tufanye biashara pasipo madalali mzigo ni moja kwa moja na bei za duka pasipo kuiba futi wala ulanguzi wowote mnakaribishwa.