Mbao!mbao!mbao!na vifaa vyote vya ujenzi soma hapa. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbao!mbao!mbao!na vifaa vyote vya ujenzi soma hapa.

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Mbeke, Sep 18, 2012.

 1. M

  Mbeke Member

  #1
  Sep 18, 2012
  Joined: Aug 5, 2012
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwa upataji wa vifaa bora vya ujenzi ambavyo ni
  1.mbao za aina zote ambazo ni treatedtimber na syplus
  2.hardwood yaani mbao ngumu...ambazo ni mninga,mtondoo,mlingoti na mkongo
  3.gypsum za kutoka thiland,china na tanzania
  4.singboard,misumali na rangi.
  5.mabati ya kutoka kiwanda cha arafa,ya aina na rangi zote!
  Wanajf...kwanini nyumba yako isionwe na wajukuu zako?au hata wakiiona wasipende kuiishi kwa ubovu?kwanini uuziwe viafaa vya ujenzi feki?kwanini ulale na mwamvuli huku uko ndani kwako?kwanini ujenzi wako ukutese mwenyewe?
  tunapatikana buguruni (mandela road)
  wasiliana nasi kwa namba zifuatazo
  1.0764 600238
  2.0715292319
  3.0653591232
  karibuni sana kwa ujezi bora wa nyumba,shule namajengo mengineyo.
  Asanteni.
   
 2. NDAMANDOO

  NDAMANDOO JF-Expert Member

  #2
  Sep 18, 2012
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 250
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 45
  biashara ni matangazo ila lako Duh umeweka mbwembwe nyingi hapo kwenye red, wateja wanaweza kushituka kama wewe ni m-bongo maneno mingi kitendo zero.
   
 3. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #3
  Sep 18, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,105
  Likes Received: 7,363
  Trophy Points: 280
  Shida ni kua tunaweza kuja kwako kukuungisha mwana-JF mwenzetu,

  But perception yako kwetu ikawa kwamba, jamaa tumejileta wenyewe, so wacha utukong'oli bei.

  Hii inatokea sana pale ambapo unaamua kumuungisha mshikaji wako kwenye biashara zake, kumbe yeye anakuchukulia kwamba huna pengine pa kwenda hivyo anakugonga bei za juu!!
   
Loading...