usiogope ndoa,hiyo hofu uliyonayo ni ya kupandikizwa,piga moyo konde,muombe Mungu wako akuongoze na utampata mwenza wa maisha yako,hii haina maana kuwa kila kitu kitaenda raha mustarehe,lah shida zitakuwepo tuKiukweli mm naogopa sana ndoa Yani utasema nimeambiwa ndo mwisho wa maisha kha[emoji2]
makaveli10 hebu njoo ujazie huu Uzi
Maisha ni kuchagua, unaishi na kufanya yale ambayo unaona nafsi yako inafurahika, mie KATAA NDOA siwashangai, na wapenda ndoa sishangai, ngumu wanadamu wote kuwa sawa kimtizamo.Kiukweli mm naogopa sana ndoa Yani utasema nimeambiwa ndo mwisho wa maisha kha😃
makaveli10 hebu njoo ujazie huu Uzi
Kupika na kufua nguo ni utumwa?Naogopa kuolewa naona ntakosa uhuru na kufurahia Maisha.
Ntakuwa mtumwa wa huyo mwanaume,kwanini hujapika,kwanini hujafua nguo zangu,nk
I hate such kind of lifestyle
Napenda uhuru na amani.
Wanaume wa kitz wengi Wana kasumba hiyo.kumpata Alie friendly ni ngumu.
Hujanielewa.na hhtoelewaKupika na kufua nguo ni utumwa?
ni kweli lakini ni wajibu wetu kujenga jamii zinazofuata maadili ya kidini na ya mila njema,kuoa ni muhimu sanaMaisha ni kuchagua, unaishi na kufanya yale ambayo unaona nafsi yako inafurahika, mie KATAA NDOA siwashangai, na wapenda ndoa sishangai, ngumu wanadamu wote kuwa sawa kimtizamo.
ni mawazo yasiyofaaNdoa is not for the weak, ukiingia tu utayashindwa ya ndoani.
hayo mawazo yako yamejengwa juu ya hofu ya kijinga na umesahau kuwa,upo duniani kitimiza matakwa ya muumba wakoKupika na kufua nguo ni utumwa?