Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,549
- 49,425
Kenzy 5 mstari wa 10 mpaka wa 11,imeandikwa "wote njooni kwangu maana mlipo nami nipo!".Sisi ndo tupo sasa.
HehehehehBado sijaona kosa la sisi namba 8 na 9 aseee
Halafu kuna hater mmoja atakuja kuongezea hapo namba 13 usioe mwanamke anayebet
Haya tuambie lengo la kumficha password mwenzi wako na tuambie lengo la kuvaa suruali yenye kuchanwa mapajani.Bado sijaona kosa la sisi namba 8 na 9 aseee
hawa hua wana Tigo tam kweli4. Anayevaa shanga kiunoni
Achana nae ana stress za tozo huyo,Sisi wanaume tukipenda hatuamgalii chochote ktk hivyoSisi ndo tupo sasa.
Haya tuambie lengo la kumficha password mwenzi wako na tuambie lengo la kuvaa suruali yenye kuchanwa mapajani.
Mkuu kwa hiyo wewe demu anayepiga kinywaji unaweza kumuoa?Mkuu.....
Kama hayo yote hayafai, basi nimegundua kwanini mashoga wanaongezeka...🧐
Mimi na wenzanguNiwaambie wewe na nani?
Mimi na wenzangu
Kwaio wanawake wote wapo ivo????[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mkuu.....
Kama hayo yote hayafai, basi nimegundua kwanini mashoga wanaongezeka...[emoji3166]
Kama na mimi. Ebu fasta[emoji57]Wenzako kama nani?
🥳🥳🥳😘😘😘Achana nae ana stress za tozo huyo,Sisi wanaume tukipenda hatuamgalii chochote ktk hivyo
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] anayebet nomaaBado sijaona kosa la sisi namba 8 na 9 aseee
Halafu kuna hater mmoja atakuja kuongezea hapo namba 13 usioe mwanamke anayebet