Mwenye simu kali, labda awe anafanya kazi rasmi ambayo uki mthaminisha unajiridhisha kuwa anao uwezo wa kuninunulia mwenyewe!
Vinginevyo itakuwa kahongwa na watalaka zake ambao Siku yoyote wakikutana wataweza kukumbushana!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.