Usioe mwanamke mwenye hizi tabia

Usioe mwanamke mwenye hizi tabia

Gangplus

Member
Joined
Sep 6, 2018
Posts
69
Reaction score
65
Usioe usioe narudia tena mpendwa usioe!!

- Ukiona msichana ana ujasiri wa kuvaa nguo fupi na kuingia barabarani bila aibu akitembea usioe

- Ukiona msichana ana ujasiri wa kuvaa nguo ya kubana sana halafu anatembea bila aibu mtaani usioe

- Ukiona msichana anakunywa pombe na kulewa akiwa bar usioe

- Ukiona msichana anapenda kupigia picha kwenye dressing table za lodge, kwa marafiki, kwenye maghetto ya wanaume, saloon huku yeye dressing table yake ni dirishani usioe

- Ukiona msichana anaujasiri wa kusimama na wanaume hovyo barabarani bila kuona aibu usioe

- Ukiona msichana anaujasiri wa kukujibu mbovu hadharani usioe

- Ukiona msichana anatoa hela anasuguliwa miguu usioe

- Ukiona msichana unamtumia vocha halafu anakubipu usioe

- Ukiona msichana ni mjuaji juaji usioe

- Ukiona msichana ni muongeaji sanduku la maoni la mwendokasi likasome usioe

- Ukiona msichana ametendwa zaidi ya mara tatu kwenye mahusiano usioe

- Ukiona msichana amehudhuria harusi zaidi ya tano na bado yupo kwao usioe

- Ukiona msichana kavaa mipete kumbe Hana mume wala mchumba usioe huyo tayari keshaolewa na shetani

- Ukiona msichana anapenda Sana kupiga picha na kuonesha makalio kwa kuyabinua Kama mtetea anaandaa mazingira ya kupandwa na jogoo usioe

- Ukiona msichana.....

Endelea na wewe 🏿‍♂
 
Ukiona msichana yupo na DR SHIKA usioe
IMG-20181218-WA0000.jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom