Niliwahi kusafiri mkoani kwenye basi nikakaa siti mkabala na binti mlemavu wa miguu.
Binti mrembo ana sura nzuri ana akili za darasani na za maisha. Tulipiga stori tukapeana namba.
Binti akanipenda sana,tatizo mi nilikuwa muhuni na mademu kama 20 kwenye huo mkoa tunaoishi na huyo dada.
Nikaona hapa nitachuma dhambi na atadhani nimechepuka sababu ya mapungufu yake kumbe ni umalaya wangu tu.
Busara ilitumika kuvunja mkataba kwa makubaliano ya pande zote mbili.
Hawa wenzetu wanahitaji mapenzi ya kweli na upendo wa hali ya juu kutoka kwetu.
Umalaya mbaya tunakosa mabinti wazuri kwa kuogopa kuwaumiza