Usioe mlemavu kama unajijua hujatulia

Usioe mlemavu kama unajijua hujatulia

Hivi umalaya ni sifa siku hizi!!![emoji134][emoji134][emoji134]
 
Niliwahi kusafiri mkoani kwenye basi nikakaa siti mkabala na binti mlemavu wa miguu.

Binti mrembo ana sura nzuri ana akili za darasani na za maisha. Tulipiga stori tukapeana namba.

Binti akanipenda sana,tatizo mi nilikuwa muhuni na mademu kama 20 kwenye huo mkoa tunaoishi na huyo dada.

Nikaona hapa nitachuma dhambi na atadhani nimechepuka sababu ya mapungufu yake kumbe ni umalaya wangu tu.

Busara ilitumika kuvunja mkataba kwa makubaliano ya pande zote mbili.

Hawa wenzetu wanahitaji mapenzi ya kweli na upendo wa hali ya juu kutoka kwetu.

Umalaya mbaya tunakosa mabinti wazuri kwa kuogopa kuwaumiza
Tupe namba wengine tunataka kupita nao tuweke rekodi zetu sawa
Hapa nilipo nimebakiza kutembea na mlemavu wa viungo mkono au miguu
Nshafuta bubu kiziwi kipofu albino [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji2960][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuwa nae tu ilikuwa zawadi tosha kwake🙏
 
We jamaa tunaweza tukawa sawa ...hata Mimi binafsi nilikua sidinyani na mwanamke ambaye najua huyu ataumia Sana nikimuacha.

Yaani Mimi napenda kunyanduana na wanawake ambao mkizinguana anaanza kukutukana kuwa unakibamia , hujui kuvaa nk ...! Ila mwanamke wa kumlilia Mungu sihitaji kabisa
 
Kabisa mkuu dhambi na laana za kujitakia sio poa,chozi la mwanamke naliogopa sana
 
Umefanya jambo jema sana kuliko angejua kuwa una wanawake wengine na angehisi, Ni kwa sababu ya mapungufu yake.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom