Usioe mke tu, oa mama wa watoto wako

truth1990

Member
Jan 8, 2022
26
53
Kuoa na kuanzisha familia ni moja ya hatua muhimu zaidi kwa kijana.

Kwa kua ni hatua muhimu zaidi basi umakini zaidi unahitajika hasa katika kuchagua mwenza sahihi wa kuanza naye safari hiyo muhimu.

USITUMIE HISIA, TUMIA AKILI

Katika kuchagua aina ya mwenza unaemuhitaji tumia zaidi akili badala ya hisia.
fanya tathimini ya kutosha ya aina ya mwenza unamuhitaji, hakikisha ametimiza vigezo vyako vya msingi,

USIO MKE TU,OA MAMA WA WATOTO WAKO,,

Usiendeshwe na hisia za ngono,, Vitu kama sura,,shape,,kalio, havipaswi kuwa vipaumbele vyako vya msingi linapokuja suala la kuchagua mwenza wa maisha ,, because they have nothing to do with your family...they have nothing to do with your children.

Usioe mwanamke mjinga ,,mwanamke mjinga ni hatari kwa maisha yako ,,maisha ya watoto wako na hata ya wazazi wako,,

Be carefully.
 
Ana sifa nyingi zisizofaa,,
Ila kuu ni mwanamke asiejitambua,
Ni mwanamke aliekosa maadili mema,,ni mwanamke mvivu nk
OK kwaiyo akiwa mchapakazi na mwenye elimu kubwa ya darasani ila ana tabia ya UJEURI, KIBURI NA DHARAU uyu tuoe tuu ana shida
 
OK kwaiyo akiwa mchapakazi na mwenye elimu kubwa ya darasani ila ana tabia ya UJEURI, KIBURI NA DHARAU uyu tuoe tuu ana shida
Soma vizuri ,,nimesema ana sifa nyingi zisizofaa,,kiburi jeuri na dharau ni sifa zisizofaa,,
Nilizotaja mimi ni baadhi tu na ndio maana nimeweka nk mwishoni
 
Kupata mke mzuri mwenye akili, busara dini na nidhamu ni kama bahati nasibu tu, wanawake ni viumbe wanao badilika mda wowote
Every human being do change with time,,lakini vipi si bora akabadilike akiwa ndani ?
 
Kwenye swala la mapenzi ukitanguliza akili sana basi hautakuja kujua utamu na raha za mapenzi. Mapenzi ni vile moyo wako unajisikia ukiwa na mtu fulani na as long as kuna heshima na kuthaminiana kati yenu, kila kitu kitakuwa sawa tu.

We tafuta mwanamke ambae utajisikia amani hata kuwa nae, haya mambo ya kutumia akili ndo utajikuta mwanamke unamchoka baada ya wiki mbili tu za kulala pamoja. Mwanamke ambae ukishapiga kila kimoja ambacho mara nyingi kinahamasishwa na tamaa basi hauwezi kurudia tena kwasababu hana anachokuvutia.
 
Nagongea msumari
 
Back
Top Bottom