Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,729
- 18,221
Hua atupendi utumwa kufugwa ni kama utumwa hivyo tumekataa kuwa chawa kama kuku, bata na kwarekunguru katu hafugiki
mwongo,Nami hivyo hivyo....
Pia nikikwama nakopa kwa marafiki zangu. Next question......🙂🙂
Then YOU are stupid 😏mwongo,
then it's okay let me be stupid by talking stupid reality.Then YOU are stupid 😏
Ndio mama!!!! Tayar!!!! Nimeshawezesha!!!! Nahtaj nijitoe na kwako pia!!!!!Nyumbani ushawawezesha???[emoji848][emoji848]
Basi fanya kuwaongezea 🙂🙂Ndio mama!!!! Tayar!!!! Nimeshawezesha!!!! Nahtaj nijitoe na kwako pia!!!!!
We utak!!!????Basi fanya kuwaongezea [emoji846][emoji846]
Dah...ushauri mbovu huu...acha watu watafute pesa...hebu mwanamke asiyependa pesa anyooshe kidole juu[emoji23][emoji23][emoji23] [emoji2960]Sijasema usioe mwanamke anayependa pesa bali usioe haraka mwanamke anayependa pesa.
Kwanini
Kwasababu baadaye atakusumbua Sana.
Kama unampenda mpe muda wa kubadilika anaweza kubadilika mimi naamini wanadamu wanabadilika.
Hivyo mpe muda huku ukitengeza modo ya kumzoeza kuishi bila kutegemea pesa zako. Mwisho wa siku atazoea tu.
Ni hayo tu.
Nop!We utak!!!????