Usioe, Fanya haya uishi kama peponi

Usioe, Fanya haya uishi kama peponi

Wanawake kwa wanaume watagawa utamu wao wakati wowote kwa mtu yeyote wamtakae..Basi nawe kijana nenda uitazame mbuye kama kijiko cha mama ntilie. Ambacho mwenzako akimaliza kula kinaoshwa nawew unatumia..

Kamwe usifikirie kujimilikisha uchi mweusi wa binadamu mwenzako mwenye uhuru wake kwa kigezo cha ndoa au mahusiano ni ulofa na upungufu wa akili.

Tafuta kigoli swafi , Kisha kitufue na ujipatie mrithi kutoka katika nyuchi zake tepetepe..

Baada ya hapo jikite katika kuhangaikie ugali wako , huku ukijitafunia mbuye mchanganyiko pasipo kupatwa na hisia pale zitakapokukimbia.
uzi bora kabisa wa wiki hii
 
Unakuwa na wanawake wengi wa nini yani ni upotezaji wa raslimali tu.

Ni sahii ma slay queen utapoteza nao muda na kuona wanawakw wote hawafai. Tafuta mmoja utakayehangaika naye.
Hamna mafanikio bila kuwa na nidhamu....
Soma uelewe
 
Kwani mwanamke mmoja anafaida gani?
 
Wanawake kwa wanaume watagawa utamu wao wakati wowote kwa mtu yeyote wamtakae..Basi nawe kijana nenda uitazame mbuye kama kijiko cha mama ntilie. Ambacho mwenzako akimaliza kula kinaoshwa nawew unatumia..

Kamwe usifikirie kujimilikisha uchi mweusi wa binadamu mwenzako mwenye uhuru wake kwa kigezo cha ndoa au mahusiano ni ulofa na upungufu wa akili.

Tafuta kigoli swafi , Kisha kitufue na ujipatie mrithi kutoka katika nyuchi zake tepetepe..

Baada ya hapo jikite katika kuhangaikie ugali wako , huku ukijitafunia mbuye mchanganyiko pasipo kupatwa na hisia pale zitakapokukimbia.
Kwa hiyo faida ya ndoa kwako ni mbunye pekee?

Hakuna faida nyingine itokanayo na couple kuishi pamoja?

Umeufikiria mustakali wa uzee wako kwanza kabla hujaandika hiki?

Sijasikia pahali kuna makazi ya kulelea wazee yenye kujitosheleza na kukudhi viwango ujue!

Halafu ukiwa na mawazo zabizabina namna hii, Mungu hakuui mapema hadi akuoneshe ukuu wake ili ukiri makosa yako kwa kujuta wakati ukiwa mzee asiye na chochote hohehahe and then ndiyo anakuondoa.

Wadhani majike ya kibinadamu Mungu aliyaumba bila faida kwa ajili ya kuchezea kama unavyoshinda ukiwaza?

Shauri yako.
 
Kwa hiyo faida ya ndoa kwako ni mbunye pekee?

Hakuna faida nyingine itokanayo na couple kuishi pamoja?

Umeufikiria mustakali wa uzee wako kwanza kabla hujaandika hiki?

Sijasikia pahali kuna makazi ya kulelea wazee yenye kujitosheleza na kukudhi viwango ujue!

Halafu ukiwa na mawazo zabizabina namna hii, Mungu hakuui mapema hadi akuoneshe ukuu wake ili ukiri makosa yako kw kujuta wakati ukiwa mzee asiye na chochote hohehahe and then ndiyo anakuondoa.

Wadhani majike ya kibinadamu Mungu aliyaumba bila faida kwa ajili ya kuchezea kama unavyoshinda ukiwaza?

Shauri yako.
Yaan unaona ili ulelewe uzeeni🤣
 
Back
Top Bottom