Usioane na Mtu kisa tu Mnapendana

Usioane na Mtu kisa tu Mnapendana

Kichwa cha habari kibadirishwe , sasa tutafungaje ndoa kama hamna upendo.
Kichwa kisome ndoa si sehemu ya kupumzika.

Upendo ni cover tu, na mara nyingi sio kweli kuwa mnapendana kama mnavyoambizana…. hivyo huo upendo unaweza kuwa chanzo cha kuwakutanisha tu ila maamuzi ya kuendelea kuishi pamoja yanabebwa na sababu nyingine tofauti kabisa.

Upendo ni mmojawapo, ila sio kila kitu.
 
Wewe una point ila huelewi uiandike Namna gani. Unachanganya mafile kinoma

Okoteza hizo unazoita pointi kisha unganisha, sio rahisi kuwaza sawa sawa na unavyowaza…. nimejaribu nilichoweza kuandika.
 
Upendo ni cover tu, na mara nyingi sio kweli kuwa mnapendana kama mnavyoambizana…. hivyo huo upendo unaweza kuwa chanzo cha kuwakutanisha tu ila maamuzi ya kuendelea kuishi pamoja yanabebwa na sababu nyingine tofauti kabisa.

Upendo ni mmojawapo, ila sio kila kitu.
Sawa ndoa nyingi ni upendo, sababu zinazotokea ndoani huwa nyingi ni ukosedu wa ujuzi kwamba hujaja kupumzika, bali heshima na ustaarabu vinatawala kwenye ndoa. Upendo ndio chanzo cha makubaliano boss.
 
Ndio ni kwa ajili ya WATOTO sio kwa ajili yenu nyie watu wazima. Nyie mnabaki kuwa watumwa tu kwa watoto wenu mpk mtakapoitwa mavumbini. Don't try to find HAPPINESS kwenye Ndoa coz hutakaa uipate. Ndoa ni MAJUKUMU TU.
 
Umeongea vema kwa lugha rahisi kabisa, barikiwa.
 
UMOJA,USHIRIKIANO ni mazao ya UPENDO....huwezi kuwa na umoja au ushirikiano na adui
Kujengwa familia ni matokeo ya pesa,PESA bila upendo ni kazi buree....UPENDO unabeba vitu vingi Kama utuwema,uvumilivu,msamaha,umoja,mshikamano.
Unless otherwise ulikuwa unaongelea SEX.
 
Upendo ni cover tu, na mara nyingi sio kweli kuwa mnapendana kama mnavyoambizana…. hivyo huo upendo unaweza kuwa chanzo cha kuwakutanisha tu ila maamuzi ya kuendelea kuishi pamoja yanabebwa na sababu nyingine tofauti kabisa.

Upendo ni mmojawapo, ila sio kila kitu.
Kabisa mkuu,upendo nineno lakutamkwa tu mzeebaba;tena neno hilo limekua likitumiwa kwa ulaghai au likitumiwa vibaya tu nawatu.inafaa kuwe nasababu za ziada nje ya mwenza wako kukutamkia nakupenda au kusisitiza kua amezama kwenye penzi lako,mambo hayo nikama,
1.asilimia ya kuendana kwenu(chemistry)..wajuzi au wabobezi watailezea vizuri hii factor...mfano mm sipendi sana matani ktk maisha yangu sasa ukutane namtu ambae mda wote nikutaniana nakucheka cheka tu.mm huchukulia kila maongezi kua ni serious na nje yahapo hata unitanie nitaona unanikosea adabu.
2.mila nadesturi za kwenuau kwao...mfano kwetu mwanamke hatakiwi aonekane mjuaji kuliko mwenyeji hata kama anajua inabidi avunge dizani asionekane kila kitu anajua nisawa nakua mtovu wa nidhamu au kudhalilisha ukweni.
3.Dini japo sio sana.
4.kipato(hapa ndio utajua kwann matajiri huo matajiri wenzao)
5.mitazamo juu ya maisha(mwingine huamini ktk kubarikiwa wakti mwenziwako anaamini ktk kupambana,mwingine anaamini ktk uchawi au kwenda kwa waganga wakti ww unaamini ktk sciences zaidi..hapa haihusiani na elimu au usomi,unaweza kua msomi ila imani yako inawaza ushirikiana..
6.personalities(introverts au extroverts)
7.uzuri(beuty)wengine hupenda wenzi wenye sura narangi tofauti tofauti.au maumbo tofauti au vimo tofauti.
.....kwa mantiki hyo upendo tu kusema unatosha sio kweli kuna package flani lazima ihusike mkuu.
3.Malezi.kuna watu wamelelewa bila kukalipiwa au kukosolewa hata kama wafanye makosa...ukija kua namtu wa aina hii ktk mahusiano akikosea ukamuambia ataona unamuonea tu kama hastahili hivi kuambiwa.ataona yuko utumwani kumbe nihali yakawaida tu.mengine mtaongezea hapo maana ktk malezi nisectort pana..
 
Ndio ni kwa ajili ya WATOTO sio kwa ajili yenu nyie watu wazima. Nyie mnabaki kuwa watumwa tu kwa watoto wenu mpk mtakapoitwa mavumbini. Don't try to find HAPPINESS kwenye Ndoa coz hutakaa uipate. Ndoa ni MAJUKUMU TU.
I salute you brother ndoa asilimia kubwa nimajukumu tu,hata tendo landoa lenyewe liko kiuwajibikaji zaidi ,,fikiria usiku wa manane mtu anakuamsha umpige miti wakati ww unausingizi mzito au unamawazo tofauti.nikama msalaba flani hivi wakubeba.
 
Hahaha inabidi ufanye ili kutimiza wajibu, ni jukumu sio starehe…. ngono tamu ni ya mchepuko huko.
 
Niseme nisiseme?
Tega sikio.

Upendo sio kigezo pekee kwenye ndoa, upendo hautakuwepo kati yenu kwa nyakati zote. Mnahitaji sababu zingine muhimu za kuishi kwenye ndoa.

Sababu hizo ni pamoja na umoja na ushirikiano katika kujenga familia yenu.

Ndoa sio sehemu ya starehe wala kupumzika. Ukiingia kwenye ndoa kwa lengo la kupumzika (hapa wanawake wengi hujidanganya) ujue utakuwa mzigo kwa mwenzi wako.

Hata suala la uaminifu kuna muda sio kipaumbele, inabidi kukubali ukweli kuwa sio rahisi kuwa wa pekee yako…. kikubwa heshima na mambo yanaenda.

Ncha Kali…
Umeandika maneno magumu sana ambayo baadhi ya wanawake huwa tunakuja kuyaelewa kwa kuchelewa sana na wakati mwingine tunakuwa tumeathirika vibaya mno na muda unakuwa umeshayoyoma🤒🥴🤪😴
 
Back
Top Bottom