Upendo ni cover tu, na mara nyingi sio kweli kuwa mnapendana kama mnavyoambizana…. hivyo huo upendo unaweza kuwa chanzo cha kuwakutanisha tu ila maamuzi ya kuendelea kuishi pamoja yanabebwa na sababu nyingine tofauti kabisa.
Upendo ni mmojawapo, ila sio kila kitu.
Kabisa mkuu,upendo nineno lakutamkwa tu mzeebaba;tena neno hilo limekua likitumiwa kwa ulaghai au likitumiwa vibaya tu nawatu.inafaa kuwe nasababu za ziada nje ya mwenza wako kukutamkia nakupenda au kusisitiza kua amezama kwenye penzi lako,mambo hayo nikama,
1.asilimia ya kuendana kwenu(chemistry)..wajuzi au wabobezi watailezea vizuri hii factor...mfano mm sipendi sana matani ktk maisha yangu sasa ukutane namtu ambae mda wote nikutaniana nakucheka cheka tu.mm huchukulia kila maongezi kua ni serious na nje yahapo hata unitanie nitaona unanikosea adabu.
2.mila nadesturi za kwenuau kwao...mfano kwetu mwanamke hatakiwi aonekane mjuaji kuliko mwenyeji hata kama anajua inabidi avunge dizani asionekane kila kitu anajua nisawa nakua mtovu wa nidhamu au kudhalilisha ukweni.
3.Dini japo sio sana.
4.kipato(hapa ndio utajua kwann matajiri huo matajiri wenzao)
5.mitazamo juu ya maisha(mwingine huamini ktk kubarikiwa wakti mwenziwako anaamini ktk kupambana,mwingine anaamini ktk uchawi au kwenda kwa waganga wakti ww unaamini ktk sciences zaidi..hapa haihusiani na elimu au usomi,unaweza kua msomi ila imani yako inawaza ushirikiana..
6.personalities(introverts au extroverts)
7.uzuri(beuty)wengine hupenda wenzi wenye sura narangi tofauti tofauti.au maumbo tofauti au vimo tofauti.
.....kwa mantiki hyo upendo tu kusema unatosha sio kweli kuna package flani lazima ihusike mkuu.
3.Malezi.kuna watu wamelelewa bila kukalipiwa au kukosolewa hata kama wafanye makosa...ukija kua namtu wa aina hii ktk mahusiano akikosea ukamuambia ataona unamuonea tu kama hastahili hivi kuambiwa.ataona yuko utumwani kumbe nihali yakawaida tu.mengine mtaongezea hapo maana ktk malezi nisectort pana..