Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,787
- 120,599
Asante my shem wa ukweh.....ndio maana mi nakupendaga
Bado upo au ushaibiwa?nishafika nakusubiri without................
Wivu sio dawa..... Uniwache na miss neddy wangu...Kwa sababu wewe ni wifi ngoja nikuheshimu tu
Naam????
Uchepukaji tu usihofuustake kuniambia kwa babu una hisa zako
Isshh.... Ntuzu si ndo kanipora au mahawara hatuachani?Hilo nalo ni siri kwani?
Usimsikilize hani, we ndo beibe wangu wa zamu hii....alaaa kumbe
Dadake ndo mwallu au? Naye mbona tuna mpango wa kuchepuka?Usimwambie dadayo lakini
Usicheke hani,mi naumia loho.....hahahaha
Acha umbea uende mbinguni.......nawadeku tu
Bado upo au ushaibiwa?
Wivu sio dawa..... Uniwache na miss neddy wangu...
Naam????
Uchepukaji tu usihofu
Isshh.... Ntuzu si ndo kanipora au mahawara hatuachani?
Usimsikilize hani, we ndo beibe wangu wa zamu hii....
Dadake ndo mwallu au? Naye mbona tuna mpango wa kuchepuka?
Usicheke hani,mi naumia loho.....
Acha umbea uende mbinguni.......

Ntaanza kuwasikiliza dada zangu kwa Yale wanayosema!
Ntaanza kuwasikiliza dada zangu kwa Yale wanayosema!
Mmmh swty kweli? Najua umeshaanza kunichoka sawa tu....ukinihitaji utakuja kunifuata nyumbani kwetu. Bye..
endelea kumwamini mkeo
Siwezi kukuchoka ata iweje ata dada zangu wasemeje!
Hapa nilikua nazuga tu nione watakavyosema!
Si umeona Mwenyewe miss neddy alivyoanza kusema?
Hudanganywi? Duh?!!!
Yani namwamini Mke wangu Mia kwa mia!