Vipi, imekukuna?
Ewaaaaaa..... Thats my girlie. Twenzetu PM nikakuambie maendeleo ya kile kitu chetu.
Kwa sababu wewe ni wifi ngoja nikuheshimu tuhahahahaha
pita hivi----------->
Kwa sababu wewe ni wifi ngoja nikuheshimu tu
ustake kuniambia kwa babu una hisa zako
Hilo nalo ni siri kwani?
alaaa kumbe
Usimwambie dadayo lakini
nawadeku tu
Ujue wewe ni Mentor wangu....nimekuwa nikiamini kuwa u have superhuman powers.....
Nitafute tuongee over a cup of coffee.......mekumiss.....
.....Ramadhan ikiisha ntavuka ngambo ya pili
btw unichekesha hapo kwa mzee wa new world
Kama ni yule wa Mwanza nafikiri huo ni uamuzi sahihi afande.Mapenzi ni hatari sana,hayajali kama umepitia depo wala mafunzo ya ukomandoo.All the best.
kama vile nkimaliza, moyo utatulia,
kumbe najiliwaza, maumivu yaendelea,
mapenzi mwili wa pweza, huwezi kuyaelewa.
Somethings in life are so difficult to explain,am sorry...
Wii hulali tu au shemeji Mentor yupo lindo kwa waziri?
Elizabeth Dominic...I am kamiiiiiiiiiiiiiing!
Naomba mualiko wa Idd pilli...!
iAhaha ndo huyo huyo mkuu! Mapenzi hata uwe Brigedia
Mapi, kwa sasa ni kweli nahisi kama sitoacha kumpenda...but kama mtu mzima i know, 'this too shall pass'
Love needs no explanations darling...it just is! #thanksAnyway
Nimeshaacha upolisi shemeji Khantwe
Siku nyingi kidogo...sasa hivi namalizia kozi ya commercial pilot...hope to qualify soon! Ni shida...
kwasasa utaogopa kugusa maana mikono bado haijapoa, kadri unavyosubiri mikono itakufa ganzi na ndio mwisho wa wewe kushika tena. ukifanikiwa kushika kila sufuria laweza kuwa halali yako maana hutaogopa tena kuungua@elizabeth dominic...I am kamiiiiiiiiiiiiiing!
Naomba mualiko wa Idd pilli...!
iAhaha ndo huyo huyo mkuu! Mapenzi hata uwe Brigedia
Mapi, kwa sasa ni kweli nahisi kama sitoacha kumpenda...but kama mtu mzima i know, 'this too shall pass'
Love needs no explanations darling...it just is! #thanksAnyway
Nimeshaacha upolisi shemeji Khantwe
Ooh hongera shemeji..
kwasasa utaogopa kugusa maana mikono bado haijapoa, kadri unavyosubiri mikono itakufa ganzi na ndio mwisho wa wewe kushika tena. ukifanikiwa kushika kila sufuria laweza kuwa halali yako maana hutaogopa tena kuungua
vidonda vya mapenzi, vinatibika kwa mapenzi tu.