...am glad you know this my dear! #nimekumisijeeeee
miss chagga dadangu, this I promise you!
I guess I have my mind made up bro...I will stick with Gayle's I will get over you...
Walaaaaaaa huyo ni Nkwela wangu!
sometimes huwa tunapendaga tu kupiga stori wenyewe sema ndo ivo wapambe nuksi hawachoki kutuzushia maneno!
heee basi nshapitiliza, kwa sasa wamebaki wanne! walikuwa watano ndo huyu mmoja kaniponyoka!
Mke wangu weeeeeee....nakupenda anyway!
Nimekuja my new love, kuna gani inaendelea hapa?Kibabu kinakupenda bdo
Jana alikuwa analia juu yko mtaa wa pili anasema atakuhonga hela yake yoote ya mafao ya uzeeni
Naona ugoro umekolea amelala now
Jion utamwona na fujo zake Asprin cum thizi way wizout parking anywere
Am watching...... :cool2::cool2:.....Ramadhan ikiisha ntavuka ngambo ya pili
btw unichekesha hapo kwa mzee wa new world
Bebii ulipata salamu zangu??haha ninalo basi nakuona unataka kumfanya khantwe mpango wa kando
Bebii ulipata salamu zangu??
Nimekuja my new love, kuna gani inaendelea hapa?
Ngoja nikule daku kwanza......
Bebii ulipata salamu zangu??
hazijafika babuuuu
Bebii ulipata salamu zangu??
unaitwa bebi halafu we unamwita babu
Bebii ulipata salamu zangu??
Nani babu yako bebii??hazijafika babuuuu
Pakua kabisa kianze kupoa. Mi nna mahaba sana na pishi lako tyam.njoo tule wote......
Easy..... easy.... am all yours. Ni upepo tu.am woching yuu
Afadhali unisaidie kuuliza. Ndo maana huwa siachi kukupenda..... ngoja nikutafute wozap kule nikuambie kitu changu...unaitwa bebi halafu we unamwita babu