Usiniulize kwanini sichepuki

Angalau umelitambua mapema ndugu. Bro kasepa na ngoma, na wewe ukisepa na ngoma ni soo kwa familia. Tulizana na wife, mbunye ni ile ile, spice it mwenyewe ili uifurahie, hizo usizozijua ni hatari kwa afya yako. Enjoy your mamsap's bits achana na za bar.
 

kabisa mkuu.. nikisema kaka mkubwa kutangulia mbele za haki ni mapenzi ya mungu ntakua nakosea mana tulikua tunashindana kwa kuchapa madem wakali. hatari sana haya mambo
 
huyu mamsapu nna miaka nae minne, hakuna uhuni ambao sijawahi kuufanya ila tangu blaza alivyopotea kwa ugonjwa wa kukondesha, nimeamua kuwa mpole na kutafuna steki za mamsapu exclusively.. karibu bia mkuu
Kasema nani ngoma inapatikana kwa michepuko tu? Haya usichepuke alafu mkeo achepuke uone gonjwa hilooooo ndiiinnnnndiiiiii
 
Kasema nani ngoma inapatikana kwa michepuko tu? Haya usichepuke alafu mkeo achepuke uone gonjwa hilooooo ndiiinnnnndiiiiii
sio rahisi. jiamini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…