huyu mamsapu nna miaka nae minne, hakuna uhuni ambao sijawahi kuufanya ila tangu blaza alivyopotea kwa ugonjwa wa kukondesha, nimeamua kuwa mpole na kutafuna steki za mamsapu exclusively.. karibu bia mkuu [emoji481] [emoji481] [emoji481]Wewe jamaa upo kitengo nini? Kila siku bia. Nimepata kiu ya fasta.. ngoja tuone siku itaishaje.
My take; naona umeoa karibuni. Una hamu na mkeo.... ipo siku utakuja kuleta ushuhuda wa kuchepuka.
Hapo sijui kama haujaanza kuona herufi mbilimbilinipo fitikalikiti we uliza tu.
labda kwa ufupi ni kwamba sina historia ya kuchunwa, nilikua nawatafuna watoto wa kishua tu tena nyumbani kwao.. usione watu wameamua kutulia mkuu, wana historia chafu. karibu bia [emoji481] [emoji481] [emoji481]tatizo lako ukiopoa mlupo unaloweka ndo mana
nadhani hujaelewa neno loweka lilivyotumika hapa,yani unapiga kavu kavulabda kwa ufupi ni kwamba sina historia ya kuchunwa, nilikua nawatafuna watoto wa kishua tu tena nyumbani kwao.. usione watu wameamua kutulia mkuu, wana historia chafu. karibu bia [emoji481] [emoji481] [emoji481]
Ina maana kwa muono wako kila mhudumu wa baa ana VVU?Narudia tena, usiulize kwanini na unywaji bia wangu wote sijawahi kutoka na wanawake naokutana nao bar. kama mtu mzima huna budi kujiongeza pale ndugu yako anapopatwa na majanga. wahenga walisema mwenzako akinyolewa zako tia maji.
nimejifunza kuachana na uhuni kupitia ndugu yangu. Ndugu yangu wa damu kabisa alifariki kwa ugonjwa wa UKIMWI wakati bado kijana mwenye nguvu za kutumikia taifa. nilisikitika ila sikuwa na uwezo wa kumfufua, ila uwezo niliokuwa nao ni kujifunza kupitia maisha yake aliyoishi.
ukikutana na mwanamke bar mpige bia, mchekeshe mpaka mbavu zivunjike, bambia ubambiavyo, ila mwisho wa siku usije ukaamua kulala nae, huwa tunakutana tu sehemu za starehe angali hatujui afya ya yule tunaeongea nae ipoje. piga bia lipa bili kisha rudi kwa mamsapu ukaburudishwe na steki zake, hizi steki za mtaani ambazo hatujui kama zimethibitishwa na tbs zinaweza zikawa ni vibudu.
nimemaliza, karibu bia[emoji481] [emoji481] [emoji481] [emoji481] [emoji481]