Usiniulize hii nilikoitoa

Usiniulize hii nilikoitoa

Ok9

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2013
Posts
4,554
Reaction score
4,171
10628138_704696166275118_2073646636544104278_n.jpg
 
Kichwa kilipata moto sababu ya kufikiria mwakani akisepa ataendelea kuwahudumia vipi utitiri wa vifaranga alionao
 
Mimi kuna thread niliianzisha na kuweka hiyo picha ya JK kusinzia ktk hafla,vikao na tafrija. Mods fasta wakaifuta thread yangu. Nawe jiandae kwa thread yako kufutwa na mods.
Inaonekana mods hawaitaki hiyo picha ipate mauzo humu JF..
 
alikuwa anaangalia viatu vyake vilikuwa vimechafuka isidhaniwe alikuwa amelala au kusinzia
 
Usingizi wa Fiesta bado anao labda sio kwamba alikuwa Leaders ila aliangalia Clouds TV.Mtu wa burudani huyo.
 
Mi naona alikuwa anawaza safari ya uchina akai siku ngapi na akitoka aelekee nchi gani maana kama mtalii lakini sijawahi kusikia kaenda pemba kula haluwa na bokoboko na madoriyani au ndo safari yake ya mwisho itakuwa ya kuwa aga wapemba
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom