St. Paka Mweusi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2010
- 7,991
- 5,234
Ushauri wa bure,hakikisha kila siku una Stock.Na jifunze tabia ya kunywea nyumbani,hata usingizi ukikata unafungua jokofu tu kitu na box...mausinhizi ambayo yanasababishwa na alcohol nimabaya, yaan alcohol ikikata tu, na usingizi kwao. Tangu saa kumi nimebakii narandaranda tu kwenye forums humu JF na hauna dalili za kurudi hata niufurahie wa asubui!
Sitaki tena pombee oooo haiyoo, sitaki nakataa. Oooh haiyoo...*2.
Kuna jamaa aliwahi kulala kwenye Miiba,ile anashtuka Dogi linamlamba matapishi yake.Jamaa akalalamika.Mbona hii Gesti niliyolala ina Kunguni hivi..??Na huyu mpenzi anayenikiss ni yupi..??
mzawahalisi we mzoefu aisee
Huwezi amini jana nilivifumania Sehemu kule mwananyamala Royal bar vinauzwa buku tu aisee, basi nikawa nachanganya na kitu mpya inaitwa coconut ram! Acha kabisa
Sasa hiyo cha mtoto,niko hapa Amsterdam Sloterdijk,na kuna mtu kaniletea Kreti nzima ya Amstel na anasema hangaika nayo.....
Imenikuta kama we pombe inaisha katikati ya usiku,dah ni noma sana
wewe mbona sijakuona kwenye ukaguzi?
We kumbe na we mkaguzi