Usingizi, uchovu havina adabu

Ila yule striker wa banana republic ndo alitoa kali,maana aliwapiga mabeki wote chenga akabaki na kipa,usingizi mkali ukampitia akalala huku kasimama mpaka mpira ukaokolewa
Hahahahaaaaaaaaaaaaaa!, Huuuu!. Ahsante Sana, ila kumuka kurudisha chenji yangu sasa. Teh teh teh!.
 
Ila yule striker wa banana republic ndo alitoa kali,maana aliwapiga mabeki wote chenga akabaki na kipa,usingizi mkali ukampitia akalala huku kasimama mpaka mpira ukaokolewa

Hahahahaaaaaaa JF burudani mwanzo mwisho
 
Ila yule striker wa banana republic ndo alitoa kali,maana aliwapiga mabeki wote chenga akabaki na kipa,usingizi mkali ukampitia akalala huku kasimama mpaka mpira ukaokolewa
Umenikumbusha mwanafunzi mmoja tulisoma naye,alikuwa mtoto wa mwalimu wetu,yeye alikuwa anaweza kusinzia huku anatembea.Unamwona anatembea,kumbe mwenzako yuko ndotoni.
 
Huo ni ugonjwa na una jina lake kitaalam
 
Umenikumbusha mtt wa kaka yangu alilala nyuma ya kabati la tv. Tukimtafuta kidogo tupige simu police. Nilicheka sana

Hahahaha!, pia Kuna mtoto wa jirani yangu aliingia kwenye begi kujificha usingizi ukamteka. Walipgawa sana kwani mtu alikuwa karibu Na mlango wa nje alithibitisha kuwa mtoto hajatoka nje!.

Ha ha haaaaa. Na wtt Ndo zao hizo. Anapojaaliwa yeye analala
 
Mie kijana wangu wa kwanza akiwa na four years aliingia chini ya gari na kulala tulitafuta kidogo niwe kichaa. ile nasema sasa tuwashe gari twende Polisi kaka yangu mmoja akachungulia chini ya gari hamadi kijana amelala fofofoo yanaani ni Mungu tu.
 
Mungu wangu Umenikumbusha yule jamaa wa makumbusho aliyemgonga na kumkanyaga mwanae hadi kufa bila yeye kuwa na habari ilikuwa ngumu sana ile
 
Ila yule striker wa banana republic ndo alitoa kali,maana aliwapiga mabeki wote chenga akabaki na kipa,usingizi mkali ukampitia akalala huku kasimama mpaka mpira ukaokolewa
Hi funika,nahisi jamaa ameweka record na kuivunja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…