Usingizi, uchovu havina adabu

Hapo kwenye jet engine hapo!!! Usingizi ukimkomalia sawasawa,na jet ikawaka, atatokea upande wa nyuma kama moshi tu!!
 
Umenikumbusha mtt wa kaka yangu alilala nyuma ya kabati la tv. Tukimtafuta kidogo tupige simu police. Nilicheka sana

Hahahaha!, pia Kuna mtoto wa jirani yangu aliingia kwenye begi kujificha usingizi ukamteka. Walipgawa sana kwani mtu alikuwa karibu Na mlango wa nje alithibitisha kuwa mtoto hajatoka nje!.
 
wacheki wabunge katika ya mwaka utaona usingizi ulivyo noma
 
Hahahaha!, pia Kuna mtoto wa jirani yangu aliingia kwenye begi kujificha usingizi ukamteka. Walipgawa sana kwani mtu alikuwa karibu Na mlango wa nje alithibitisha kuwa mtoto hajatoka nje!.

Duu kwa wale wenye zile imani wangeshakimbilia kwa sangoma
 
We acha tu huwa na kawaida ya kulala mchana sa siku hiyo alicheleweshwa sasa hapo alipokua anacheza akalala hapohapo. I wish ningekua na video camera ningechukua video
 
Nimejikuta nacheka pekeyangu

Siku moja nikiwa shift mochwari nilipitiwa na usingizi kwa uchovu wa jana yake tulikesha club, zikaletwa maiti mbili za fumanizi zimechinjwa kabisa halafu zikachanwachwana hasa matumbo yote nje
Jamaa walipoingia wakazibagwa miguuni mwangu kimyakimya halafu jamaa wakatoka nje wakagonga mlango kwa nguvu...hamad lahaula nakutana na maiti bila vichwa...!
 
Mie nna mwanangu ana usingizi wa ajabu yeye akishakula analala hata juu ya sahani yaani akipatwa na usingizi hata kwenye pot analiangusha hana habari
 
Hahahahahaha hatari
 
Ila yule striker wa banana republic ndo alitoa kali,maana aliwapiga mabeki wote chenga akabaki na kipa,usingizi mkali ukampitia akalala huku kasimama mpaka mpira ukaokolewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…