Usingizi kazini!!!

Usingizi kazini!!!

nunua selotepu...ukihisi usingizi tu, basi unaibandika selotepu kati ya kope na sehemu ya juu ya kope, hii itazuia kope kujifunga...

Ha ha haaaa! My husband umenichekesha kweli....,
 
Brain Chick unajua maana ya ID yako?

Kama unajua basi usingeweka hoja yako hapa kwa kuwa sehemu yake stahilivu ni JF DOCTOR.

Hapa wataichakachua mpaka basi.

NIMEMALIZA.

Kiongozi A'one umemaliza? au umehitimisha? Utamalizaje man alone?
Wakati uko msimbe?
 
Last edited by a moderator:
Kiongozi A'one umemaliza? au umehitimisha? Utamalizaje man alone?
Wakati uko msimbe?

Judgement ma-scud ya bara yame-advance kuliko ya visiwani nowadays. Huko yamebaki ya mazoea tu, huku bara tuna-upgrade daily!!
 
Last edited by a moderator:
Kwa Haji Tumbo, kwa Mz. Alma'arufu Vuai Makame Pandu, ulizia hata mtoto mdogo atakuleta. Yaani hapa kuna mandingo hata ya kuwafanza Mods wanapigwa mafusho kile kitufe cha ban hawakioni !

ngoja nimwambie Invisible nione kama na yy hiko kitufe kitakuwa
 
Last edited by a moderator:
Don't panic my dear Shem!
Coz a certain disease does not havin practice to spread frm one person to another or inherited! It's not a fatal disease , many pipo recover as if they gettin early treatment.
Hakuachi banah! Acha uoga!
sidaanganyiki shem!
mi sijawahi kuumwa hata siku 1!
 
Chimbuvu nampenda sana my husband watu8

measkron nna mazungumzo nawe ya muda mrefu, tafuta muda kesho mida ya jioni tukutane palepale pa jana. watu8 muage unaenda kwenye chicken party utarudi Jumatatu. Uwahi mpz.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom