Tuttie
JF-Expert Member
- Apr 29, 2020
- 1,265
- 1,306
SeenAhsante kwa kuwa muelewa mrs kenzy.. š
SeenAhsante kwa kuwa muelewa mrs kenzy.. š
Mboko ngapi..?Seen!
ššš
Umeongea kwa hisiaKwa manufaa ya baadae Mtu kama ujazaliwa nae hutakiwi kumuita kaka au dada. Kwanza mtu usiezaliwa nae unanzaje kumwita kaka, dada [emoji848] ndo mana baadae mkikwama mnaishia kujilaumu ati mtu mwenyewe namwita kaka/dada tunaeshimiana sna.
Utakuja kukosa mume au mke kwa ujinga wko. Kaka au dada ni yle umezaliwa nae tu wengne wote unatakiwa uwaite kwa majina yao. km unashindwa kutumia majina yao direct Unaweza kumwita Mfano miss Caroline, Mr James. Km ata ivo umeshindwa basi mwite friend au mate lakin sio kaka/dada.
Si ndio binamu[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji444][emoji444]Wanakulana,wanaitana macousin
We shtuka bro
We mpelekeee moto pelekaa motoo[emoji444][emoji444][emoji444]
Ata ukizaliwa nae kuna watu wana laana linqkutesa km kawaKwa manufaa ya baadae Mtu kama ujazaliwa nae hutakiwi kumuita kaka au dada. Kwanza mtu usiezaliwa nae unanzaje kumwita kaka, dada š¤ ndo mana baadae mkikwama mnaishia kujilaumu ati mtu mwenyewe namwita kaka/dada tunaeshimiana sna.
Utakuja kukosa mume au mke kwa ujinga wko. Kaka au dada ni yle umezaliwa nae tu wengne wote unatakiwa uwaite kwa majina yao. km unashindwa kutumia majina yao direct Unaweza kumwita Mfano miss Caroline, Mr James. Km ata ivo umeshindwa basi mwite friend au mate lakin sio kaka/dada.
Ndio ndio kaka mkubwa, habari ya wewe?Tangu ufungiwe leo ndio wakaona wakuachie eti?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndio ndio kaka mkubwa, habari ya wewe?
Binamu kisheria ni mke halali kabisa komaa nae [emoji23][emoji23][emoji23]Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...