Surya
JF-Expert Member
- Jun 7, 2015
- 9,969
- 16,120
raU cousin ni version nyingine ya kimasiha
raU cousin ni version nyingine ya kimasiha
Bora maana nilikuwa nimeisha anza kuwazaNyie siku yenu nyingine
Wapendwa gani? wasikilizaji au watazamajiNa sisi "wapendwa" je?
Yamenikutaaa yamenikuutaaaaa mzeee mwenzangu ... Nakaimba tu kanyimbo ketu wakonge.Kwa manufaa ya baadae Mtu kama ujazaliwa nae hutakiwi kumuita kaka au dada. Kwanza mtu usiezaliwa nae unanzaje kumwita kaka, dada 🤔 ndo mana baadae mkikwama mnaishia kujilaumu ati mtu mwenyewe namwita kaka/dada tunaeshimiana sna.
Utakuja kukosa mume au mke kwa ujinga wko. Kaka au dada ni yle umezaliwa nae tu wengne wote unatakiwa uwaite kwa majina yao. km unashindwa kutumia majina yao direct Unaweza kumwita Mfano miss Caroline, Mr James. Km ata ivo umeshindwa basi mwite friend au mate lakin sio kaka/dada.
Wapendwa katika bwanaWapendwa gani? wasikilizaji au watazamaji
Aise kwamba unataka kusemaje labda [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]dadaAise kwamba unataka kusemaje labda [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Eeh ndio mnaanzaga hivyo eeh😂😂😂 uko sahihi kabisa husband tulianza hivyo hivyo, nilimuita bro nae aliniita mdogo wangu,, dah meza ilipopinduliwa ikawa hun na sweetheart
Hakuna aliyetegemea tutakuwa hivi, maana ilikuwa Ni mahusiano ya kama ndg au binamu hata wanawake zake tuliwajadili na wengine nilishiriki kumuunganishia😅,Eeh ndio mnaanzaga hivyo eeh
Bas mlikuwa mnapendana toka kitambo ila tu mlikuwa mnaogopana kwa kigezo cha kaka dada(kuharibu urafiki wenu) wenda ata hao madem uliokuwa una muonganisha nao ulikuwa unafanya tu ila moyo unakuuma kama kwenye movie ya love,roseiHakuna aliyetegemea tutakuwa hivi, maana ilikuwa Ni mahusiano ya kama ndg au binamu hata wanawake zake tuliwajadili na wengine nilishiriki kumuunganishia😅,
Ni tafsiri yako wala siwezi kujieleza zaidi kwako,Bas mlikuwa mnapendana toka kitambo ila tu mlikuwa mnaogopana kwa kigezo cha kaka dada(kuharibu urafiki wenu) wenda ata hao madem uliokuwa una muonganisha nao ulikuwa unafanya tu ila moyo unakuuma kama kwenye movie ya love,rosei
Seen!Hivi wewe mbona unakichwa kigumu hivi..? Ukaka na udada tutaukuta mbinguni huko! Hapa duniani wacha tule Bata.