Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,590
- 81,568
Vipi yule mzungu bado upo nae au ameshakupiga chini?Mi naongeaga ukweli mara zote 😉
Vipi yule mzungu bado upo nae au ameshakupiga chini?Mi naongeaga ukweli mara zote 😉
Sawa dadaAu sio broo😂😂😂😂
Tutafika tu hamna namnaU cousin ni version nyingine ya kimasihara
Asa sista na braza si ndo dada na kaka au yana maana nyingne?Je sista na braza yanaruhusiwa ?
Bado npo naeVipi yule mzungu bado upo nae au ameshakupiga chini?
Okay mkiachana uniambie ili nikuchukue mimi.Bado npo nae
Hatuwezi kuachanaOkay mkiachana uniambie ili nikuchukue mimi.
Ahsante kwa kuwa muelewa mrs kenzy.. 😃🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣sawa Mr Kenzy🤣
Mtaachana tu.Hatuwezi kuachana
[emoji16][emoji16][emoji16]Vipi yule mzungu bado upo nae au ameshakupiga chini?
Km hatukuachana wiki zilizopita hatuezi kuachana tena mpk kifo kitutenganisheMtaachana tu.
Kaka u mrs Kenzy umetokea wpi tena?Ahsante kwa kuwa muelewa mrs kenzy.. 😃
Nyie siku yenu nyingineNa sisi "wapendwa" je?
Ukiangalia muktadha (context) na matamshi (pronunciation) sista na braza zina maana tofauti na sister na brother...nikiwa kwenye boda boda ukawa unapita kituoni nikikuita sista, anti, au bi mkubwa haimaanishi nina undugu na wewe...Asa sista na braza si ndo dada na kaka au yana maana nyingne?
Hivi wewe mbona unakichwa kigumu hivi..? Ukaka na udada tutaukuta mbinguni huko! Hapa duniani wacha tule Bata.Kaka u mrs Kenzy umetokea wpi tena?
Sawa mkuuKwa manufaa ya baadae Mtu kama ujazaliwa nae hutakiwi kumuita kaka au dada. Kwanza mtu usiezaliwa nae unanzaje kumwita kaka, dada 🤔 ndo mana baadae mkikwama mnaishia kujilaumu ati mtu mwenyewe namwita kaka/dada tunaeshimiana sna.
Utakuja kukosa mume au mke kwa ujinga wko. Kaka au dada ni yle umezaliwa nae tu wengne wote unatakiwa uwaite kwa majina yao. km unashindwa kutumia majina yao direct Unaweza kumwita Mfano miss Caroline, Mr James. Km ata ivo umeshindwa basi mwite friend au mate lakin sio kaka/dada.