Usimwite dada/kaka mtu ambae hujazaliwa nae

Usimwite dada/kaka mtu ambae hujazaliwa nae

my name is my name

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2015
Posts
2,016
Reaction score
2,402
Kwa manufaa ya baadae Mtu kama ujazaliwa nae hutakiwi kumuita kaka au dada. Kwanza mtu usiezaliwa nae unanzaje kumwita kaka, dada 🤔 ndo mana baadae mkikwama mnaishia kujilaumu ati mtu mwenyewe namwita kaka/dada tunaeshimiana sna.

Utakuja kukosa mume au mke kwa ujinga wko. Kaka au dada ni yle umezaliwa nae tu wengne wote unatakiwa uwaite kwa majina yao. km unashindwa kutumia majina yao direct Unaweza kumwita Mfano miss Caroline, Mr James. Km ata ivo umeshindwa basi mwite friend au mate lakin sio kaka/dada.
 
Kwa manufaa ya baadae Mtu kama ujazaliwa nae utakiwi kumuwita kaka au dada. Kwanza mtu usiezaliwa nae unanzaje kumwita kaka, dada ndo mana baadae mkikwama mnaishia kujilaumu ati mtu mwenyewe namwita kaka/dada tunaeshimiana sna. Utakuja kukosa mume au mke kwa ujinga wko. Kaka au dada ni yle umezaliwa nae tu wengne wote unatakiwa uwaite kwa majina yao. km unashindwa kutumia majina yao direct Unaweza kumwita Mfano miss Caroline, Mr James. Km ata ivo umeshindwa basi mwite friend au mate lakin sio kaka/dada.
Bora umwite cousin tu.....

Sent from my SM-A505FN using JamiiForums mobile app
 
Kwa manufaa ya baadae Mtu kama ujazaliwa nae utakiwi kumuwita kaka au dada. Kwanza mtu usiezaliwa nae unanzaje kumwita kaka, dada ndo mana baadae mkikwama mnaishia kujilaumu ati mtu mwenyewe namwita kaka/dada tunaeshimiana sna. Utakuja kukosa mume au mke kwa ujinga wko. Kaka au dada ni yle umezaliwa nae tu wengne wote unatakiwa uwaite kwa majina yao. km unashindwa kutumia majina yao direct Unaweza kumwita Mfano miss Caroline, Mr James. Km ata ivo umeshindwa basi mwite friend au mate lakin sio kaka/dada.
Huu ukweli mtupu

Sent from my SM-G9250 using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom