prince songoroka
Member
- Nov 11, 2019
- 59
- 73
Kama baba yako asivyomwamini mama yako!!!!!!!!!!!!!!!!Habar za leo wana Jf,
Mwenzenu nimepata changamoto ambayo asilimia kubwa ya sis vijana tunaipitia haswa kwenye ishu ya mahusiano.
Kuna mdada tulipendana nae mwaka 2020, tunapenda kama mbwa na mkia wake, na kipindi hiko alikuwa amehitimu kidato cha nne!, Tunajenga malengo na akawa sehem kubwa sana ya kila hatua nayoipiga kuyakimbilia mafanikio.
Matokeo yaliyotoka alienda mbali na mm, na kwa kuwa mm nilimpenda nikahamisha biashara na makazi yangu pahala karbu.
Tuliweka malengo ya kuona ifikapo kuna 2023 lakini kadri siku zilivyozidi kwenye ratiba ili badilika na kila anapoambiwa kuhusu suala la kuoa anakuwa mkali, mwisho wa siku kaishia kunidanganya ya kuwa wazazi wake wamekataaa.
Namshukuru Mungu na kumshukuru huyu binti kwa sababu amejifunza maisha ambayo sikutegemea kama ningejifinza mahali nyingne yyte zaidi ya kupitia haya nilioyapitia.....
Hawa mada tuwapende ila tusisahau.
Songoroka
Habar za leo wana Jf,
Mwenzenu nimepata changamoto ambayo asilimia kubwa ya sis vijana tunaipitia haswa kwenye ishu ya mahusiano.
Kuna mdada tulipendana nae mwaka 2020, tunapenda kama mbwa na mkia wake, na kipindi hiko alikuwa amehitimu kidato cha nne!, Tunajenga malengo na akawa sehem kubwa sana ya kila hatua nayoipiga kuyakimbilia mafanikio.
Matokeo yaliyotoka alienda mbali na mm, na kwa kuwa mm nilimpenda nikahamisha biashara na makazi yangu pahala karbu.
Tuliweka malengo ya kuona ifikapo kuna 2023 lakini kadri siku zilivyozidi kwenye ratiba ili badilika na kila anapoambiwa kuhusu suala la kuoa anakuwa mkali, mwisho wa siku kaishia kunidanganya ya kuwa wazazi wake wamekataaa.
Namshukuru Mungu na kumshukuru huyu binti kwa sababu amejifunza maisha ambayo sikutegemea kama ningejifinza mahali nyingne yyte zaidi ya kupitia haya nilioyapitia.
Hawa mada tuwapende ila tusisahau.
Songoroka
Ni sahihi kwa unachikisema,Unapima upendo kwa kitoto cha form four?
Alikuwa hajakuwa tu huyo, kwa sasa amekuwa kapata wa size yake.
Mwisho, acha
kusingizia wanawake wote eti kasoro mama mzazi. Wapo wadada wanaojielewa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hii wiki iishe tu maana imewanyoosha wanaume wengi sana nyuzi zinathibitisha hili.
I trust,Ndo hivyo unajua bhana kwenye mapenz mwanaume ukiachwa mara Moja kwa sehem uliokua unapenda, hapo ndo unakuta strong,
Pole kwa yaliokukuta lakin ndo yatakufanya uwe imara
Ah we acha tu ndgu yngu, ila tutafika tuMkuu unapelekeshwa na kitoto Cha form four[emoji1787][emoji1787]! Vitoto vya form four vinapenda vijana barobaro. Suruali fupi na zimefungiwa na kamba za viatu
Actually itamsaidia, benefit of doubt ni kitu bora sana. Itamuwezesha kufanya maamuzi kupitia akili (logic) na sio hisia maana mchumba au mke sio ndugu yako hata mzae pamoja.Pole mkuu hakua fungu lako, ila usipoteze imani kwa wanawake, itakupa wakati mgumu sana kwenye mahusiano.