The Technologist
JF-Expert Member
- Jun 7, 2015
- 1,395
- 2,801
Mkuu ROBERT HERIEL una akili nyingi sana, nakupa pongezi kwa post zako mbalimbali maana unaziandaa kwa akili kubwa sana.USIMUONEE HURUMA MWANAMKE.
Kwa Mkono wa Robert Heriel.
Wangestahili huruma lakini si sasa.
Wangestahili kupendwa lakini si Zama hizi.
Wangestahili kujaliwa na kuheshimiwa lakini hiyo ingefaa Zama zile sio Zama hizi.
Hata zamani walipokuwa wanasifa za wanawake hawakuonewa huruma sembuse sasa ambapo wamepoteza sifa ya uanamke Kwa 90%. Sasa hivi ndio hawapaswi kuonewa huruma hata kidogo.
Ni Mama zetu, shangazi zetu, wake zetu, dada na Bibi zetu lakini kamwe usimuonee mwanamke huruma hasa katika Zama hizi. Ni kitanzi na kaburi lako mwenyewe.
Siwafundishi roho mbaya Kwa maana sio asili yetu wanaume. Sisi ni watu wema tangu kale mpaka pale huruma mbaya ilipotuingia na hapo ndipo ubaya ukatuingia.
Jitahidi kuwa mbinafsi Kwa kadiri utakavyoweza ili kujifurahisha wewe mwenyewe kuliko kuhangaika kumfurahisha mwanamke. Haitakusaidia popote pale zaidi ya kujiumiza na kuonekana kazi bure.
Usimuonee huruma Mwanamke hata Kama macho yako na akili yako vinaona anastahili kuonewa huruma.
Pengine Mama Yako tuu angalau huyo waweza mkumbuka kidogo lakini waliobaki cheza nao Kwa akili nyingi huruma sifuri.
Huruma yako iwe na maslahi mapana. Apate kumi upate Mia. Apate Mia upate elfu. Usitumie moyo wako, tumia akili.
Usiwe na huruma Kwa maana wanawake hupenda kuonewa huruma Kwa wale watu wasiowapenda, huziweka nyuso zao za huruma ili kukulaghai na kuziteka hisia zako, usiwaangalie usoni wala usisikie sauti zao pindi Wazungumzapo.
Walakini usimsahau mke WA ujana wako ukamtendee wema ikiwa ulimchukua akiwa means mwali bikra Safi. Huyo na Mama yako walau unaweza wapa huruma yako kidogo hata Kama wangekutenda makosa kadha wa kadha.
Lakini kama hawana sifa hizo kamwe huruma yako isiwe karibu na Mwanamke.
Pia usitake huruma zozote kutoka Kwa yeyote, tena akiwa mwanamke ndio usizitafute huruma zake.
Sina la ziada. Mwaka mpya mwema
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Makanya, Kilimanjaro
Wanawake wanaojielewa sikuhizi ni sawa na 5% ambao wanaponzwa na 95% ya wapuuzi! Poleni sana ila population sample inawacost!Aiseeee [emoji26][emoji26][emoji26]wanawake tuna msalaba jmn Leo Tu kuna dada kafariki kwa uzazi kaacha katoto kachanga afu watoto wenywe tunaozaa ndo nyie mnakuja kutunanga na kutudhalilisha duh hii dunia kweli sio yetu[emoji30][emoji30][emoji30]asante mtoa Mada [emoji24][emoji24]!!
Sent from my SCV39 using JamiiForums mobile app
kwendaaaaaAiseeee [emoji26][emoji26][emoji26]wanawake tuna msalaba jmn Leo Tu kuna dada kafariki kwa uzazi kaacha katoto kachanga afu watoto wenywe tunaozaa ndo nyie mnakuja kutunanga na kutudhalilisha duh hii dunia kweli sio yetu[emoji30][emoji30][emoji30]asante mtoa Mada [emoji24][emoji24]!!
Sent from my SCV39 using JamiiForums mobile app
Wewe huoni tu hata SSH anavyoandamwa, dunia hii tembeeni taratibu.Aiseeee [emoji26][emoji26][emoji26]wanawake tuna msalaba jmn Leo Tu kuna dada kafariki kwa uzazi kaacha katoto kachanga afu watoto wenywe tunaozaa ndo nyie mnakuja kutunanga na kutudhalilisha duh hii dunia kweli sio yetu[emoji30][emoji30][emoji30]asante mtoa Mada [emoji24][emoji24]!!
Sent from my SCV39 using JamiiForums mobile app
Tulihusiwa toka zamaniTuishi nao kwa akili
Nikikutana na wewe ni vibao tu, sina huruma, pumbavu.
Aiseeee [emoji26][emoji26][emoji26]wanawake tuna msalaba jmn Leo Tu kuna dada kafariki kwa uzazi kaacha katoto kachanga afu watoto wenywe tunaozaa ndo nyie mnakuja kutunanga na kutudhalilisha duh hii dunia kweli sio yetu[emoji30][emoji30][emoji30]asante mtoa Mada [emoji24][emoji24]!!
Sent from my SCV39 using JamiiForums mobile app
UKIONA HIVI UJUE KESHA UMIZWA MTU HUKOUSIMUONEE HURUMA MWANAMKE.
Kwa Mkono wa Robert Heriel.
Wangestahili huruma lakini si sasa.
Wangestahili kupendwa lakini si Zama hizi.
Wangestahili kujaliwa na kuheshimiwa lakini hiyo ingefaa Zama zile sio Zama hizi.
Hata zamani walipokuwa wanasifa za wanawake hawakuonewa huruma sembuse sasa ambapo wamepoteza sifa ya uanamke Kwa 90%. Sasa hivi ndio hawapaswi kuonewa huruma hata kidogo.
Ni Mama zetu, shangazi zetu, wake zetu, dada na Bibi zetu lakini kamwe usimuonee mwanamke huruma hasa katika Zama hizi. Ni kitanzi na kaburi lako mwenyewe.
Siwafundishi roho mbaya Kwa maana sio asili yetu wanaume. Sisi ni watu wema tangu kale mpaka pale huruma mbaya ilipotuingia na hapo ndipo ubaya ukatuingia.
Jitahidi kuwa mbinafsi Kwa kadiri utakavyoweza ili kujifurahisha wewe mwenyewe kuliko kuhangaika kumfurahisha mwanamke. Haitakusaidia popote pale zaidi ya kujiumiza na kuonekana kazi bure.
Usimuonee huruma Mwanamke hata Kama macho yako na akili yako vinaona anastahili kuonewa huruma.
Pengine Mama Yako tuu angalau huyo waweza mkumbuka kidogo lakini waliobaki cheza nao Kwa akili nyingi huruma sifuri.
Huruma yako iwe na maslahi mapana. Apate kumi upate Mia. Apate Mia upate elfu. Usitumie moyo wako, tumia akili.
Usiwe na huruma Kwa maana wanawake hupenda kuonewa huruma Kwa wale watu wasiowapenda, huziweka nyuso zao za huruma ili kukulaghai na kuziteka hisia zako, usiwaangalie usoni wala usisikie sauti zao pindi Wazungumzapo.
Walakini usimsahau mke WA ujana wako ukamtendee wema ikiwa ulimchukua akiwa means mwali bikra Safi. Huyo na Mama yako walau unaweza wapa huruma yako kidogo hata Kama wangekutenda makosa kadha wa kadha.
Lakini kama hawana sifa hizo kamwe huruma yako isiwe karibu na Mwanamke.
Pia usitake huruma zozote kutoka Kwa yeyote, tena akiwa mwanamke ndio usizitafute huruma zake.
Sina la ziada. Mwaka mpya mwema
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Makanya, Kilimanjaro
Ndio maana kile kitabu mimi nimeacha kukiamini kabisa!? Siwezi kusoma huku naambiwa hivi halafu mbeleni kinakuja kujikengeusha chenyewe.Biblia inasema wanawake ni dhaifu halafu hapo hapo inasema tuishi nao kwa akili hivi kitu dhaifu unatumia akili kuishi nacho??
Kule eden apart from lile tunda kuna mambo mengine ambayo shetani aliongea na mwanamke ambayo sisi wanaume hatutakaa tuyaelewe kamwe.
Me nimekuelewa, upo sahihi [emoji122]USIMUONEE HURUMA MWANAMKE.