As a man pambana mwenyewe katika kila situation, usitegemee msaada kutoka kwa yoyote labda msaada ujitokeze wenyewe
Do no favor to anyone
Kuwa wa mwisho katika maamuzi yanayokuhusu
Kuwa tayari kumpoteza mwanamke yoyote
Usilaumu chochote kinachokutokea, funga mkanda songa mbele
Naomba kwa leo niishie hapa